Wadau wote hapo juu kama mnaweza kupata kitabu kinaitwa THE SON OF HAMAS mtapata mwanga mzuri sana,hichi kitabu kimeandikwa na jamaa anaitwa Mosab Hassan Yousef ambaye alikuwa ni mtoto na right hand man wa mmoja wa top founders wa Hamas ambaye baadae alikuja kuwa spy wa Israel(Shin Bet),nadhani...
Hizi ni habari za kusikitisha sana hasa sisi ambaye tulikuwa nae karibu na ametulea vizuri sana kipindi chote tulichokuwa pale Seminary ya Nyegezi,kwa habari nilizopata toka kwenye source iliyokuwa karibu ni kwamba Mhashamu Baba Askofu alikumbwa na low pressure na alifikishiwa ICU pale hospitali...
Fataki hapo umenena! Kamala lazima aombe msamaha PhD yake fake ndo ime-influance teuzi zake zote kuanzia Ubunge mpaka unaibu waziri! aaargh! inaudhi sana...nway cku yao inakaribia...watalia na kusaga meno!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.