Recent content by the say

  1. the say

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nisaidieni wimbo wa mwinjuma muumini una kionjo Cha " namwaga radhi,,, wanaitikia huwezi... Nivue muone' Na nyingine ya extra bongo " kichaa kapewa rungu usijaribu kupita mbele yake"
  2. the say

    Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

    Hii mbinu ya kuukatalia uwanja kwa timu ngeni zisifanye mazoezi kwa kuweka mabaunsa getini na polisi mngeitumia kwa Mc Algiers saivi mngekuwa robo 😀😀😀 maana Mc wangesusia mechi afu nyie CAF ingewapa point tatu kama hizi mnazodai Leo😀😀😀
  3. the say

    Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

    Unazijua sababu zanazoweza kusababisha mchezo ukaahirishwa? Nakupa ya Simba wapi walipitia... Soma barua ya bodi ya ligi ya kuahirisha mchezo huo utagundua kwa Nini mechi oliahirishwa. Sababu za Simba zilizokunaliwa na bodi 1. Walinyimwa haki Yao ya kikanuni kufanya mazoezi 2. Walikaa muda...
  4. the say

    Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

    Walikuja Mzee, tena walikuwa peke Yao bado wakapitia mlango pori, na Leo wameenda bunju eti kucheza na Simba wanafikiri ligi kuu ni ndondo
  5. the say

    Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

    Kaka unakichwa kigumu sana kuelewa, yaan ni hivi wenye mpira wao waliahirisha mechi baada ya timu ya Simba kulalamika kwao kuwa hawakupewa haki Yao ya kikanuni kafanya zoezi kwenye uwanja ambao mchezo utafanyika na muda ule ule wa mchezo wakalalamika kwa barua kwenda bodi ya ligi na kisha kwa...
  6. the say

    Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

    Mechi imeahirishwa unaletaje timu,, hivi mkinywaga Yale ma supu yenu huwa mnakosa akili eti..
  7. the say

    Waamuzi wa mechi ya Simba vs Tabora ni Wanachama wa Simba

    Tumefurahi hamjafuzu....
  8. the say

    Eng Hersi aanza Kwa spidi apangua Sheria huko CAF

    Sijui kwa nini ukiwa nyuma mwiko unakosa akili
Back
Top Bottom