Recent content by THE REPORT

  1. THE REPORT

    Twitter waifungia akaunti ya Ayotollah Ali Khamenei

    We naye ni wale wale watumwa wa Mapokeo ya Dini.
  2. THE REPORT

    Wizara ya Afya haipaswi kuongozwa na Madaktari

    Unadhani hayo uyazungumzayo siyajui?? Ngoja nipumzike nitakuja Kesho asubuhi.
  3. THE REPORT

    Wizara ya Afya haipaswi kuongozwa na Madaktari

    Akili yako ndio ya kibabaishaji. Huna hoja
  4. THE REPORT

    Wizara ya Afya haipaswi kuongozwa na Madaktari

    Namaanisha hivi, Katika kada hizi The TOP wa wote hapo ni RMO/DMO . Huyu ndiye na power ya kimaamuzi hawa wengine sijui Mfamasia wa Mkoa, Muuguzi wa Mkoa na Mfamasia wa Wilaya au Muuguzi wa Wilaya hawa hawana maamuzi ya mwisho hata kwenye Taaluma zao. Nitolee mfano; Hapa napofanya kazi wilaya...
  5. THE REPORT

    Wizara ya Afya haipaswi kuongozwa na Madaktari

    Acha kubabaika Mkuu. Twende pole pole, suala la usimamizi wa shughuli za Huduma za Afya pale Mkoani au Wilayani haziwezi kusimamiwa na Kada zingine za Afya kama Nurse, Pharmacy au Medical Laboratory kwa mtu aliyesomea masomo muhimu ya usimamizi wa Shughuli hizo. Wizara ya Afya inahitaji...
  6. THE REPORT

    Wizara ya Afya haipaswi kuongozwa na Madaktari

    Ahaaa sawa Mkuu. Lakini nilitaka tu kukujuza jinsi ambavyo utaratibu wa kuweka wasimamizi wa Taasis za Afya ulivyo mbovu. Inakuwaje Medical Officer Incharge lazima awe daktari?? Labda nikupe moja ya scenario ambavyo kwa miaka Mingi sana kuna Kada fulani wamelua watu wakuangushiwa jumba bovu tu...
  7. THE REPORT

    Wizara ya Afya haipaswi kuongozwa na Madaktari

    Pitia hiyo Biography ya January Makamba na unambie Kama Januara ‘Makamba aliwahi kusoma mambo Engineering popote duniani ? Na tayari yupo wizara ya Nishati. Haya tunaye Aliyekuwa waziri wa Mawasiliano na TEHAMA (ICT) Dkt Faustine Ndungulile, mbona aliweza kuiongoza wizara na hakuwahi kusoma...
  8. THE REPORT

    Wizara ya Afya haipaswi kuongozwa na Madaktari

    Acha kubisha kitoto ? Jibu hoja kwa hoja eboo
  9. THE REPORT

    Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

    Kumbe unasikia nikajua labda una ushahidi wa kushikika..! Wewe ni wa kupuuzwa tu
  10. THE REPORT

    Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

    Jibu ni wazi tu kwamba Biteko atakuwa ameshajiongeza na kuanza kumpa sikio mama na si zaid ya hapo
  11. THE REPORT

    James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

    Mpaka sasa hakuna ushahidi wa kushikika juu ya uwepo wa viumbe waitwao aliens pamoja na kuwepo taarifa nyingi kwenye mtandao. Aliens are not real beings, are just imaginary creatures.
  12. THE REPORT

    Tatizo la tumbo, nikila chakula kinakwama juu ya tumbo

    Kafanye kipimo tena waangalie hapo Kwenye koromeo la chakula (aesophagus) hiyo dysphagia ni suggestive ya ugonjwa fulani. Nenda tena hospitali
  13. THE REPORT

    Tom boy ndani ya ghetto langu!

    Nipe uzoefu mkuu, Ya albino ikoje mwanangu [emoji23][emoji23]?
Back
Top Bottom