akili yako ni finyu n elimu uliyosoma haijakukomboa. Huwezi kumtukana mwenzio namna hiyo. Kusema akili yako finyu maana yake we hujui kuwa rais ana nafasi ya kuteua wabunge? mf.mbatia,muhongo na asharose hawakuwa wabunge wa kuchaguliwa bali wakuteuliwa.Kwa maoni ya mtoa mada yupo sahihi kabisa...
Maamuzi ya dr.Slaa haya ya kuondoka CDM yamenifurahisha sana,kwamaana yanaendana na mawazo yangu. Nilipodhibitisha ujio wa Lowasa UKAWA nilisema pamoja na kuwa kura yangu ni moja lkini inathamani kubwa. UKAWA siwapi kura yangu kwa upuuzi walioufanya.Bravo@dr.Slaa
Mtoa mada acha kutoa mapovu. Wakati mnapiga kelele za slaa na mboe nani alikuwa analalamika?Ni wazi kuwa sasahivi chupi zinawabana baada ya kuona act inazidi kupata wanachama wengi zaidi tena kutoka cdm. Mawazo yenu finyu kuwa act itakufa haraka kwa kukosa wanachama na hilo mmenoa kwavile act ni...
Huna hoja ndiomaana umekosa cha kusema. Kwahili sidhani kama nitapata majibu sahihi kutoka kwako we mvivu wa kusoma. Istoshe hata huu uzi inawezekana hujausoma umekimbilia ku comment tu.
Kumekuwepo na mshikemshike na udiniudini kwenye suala la katiba mpya.
Hoja ya msingi ya maaskofu waliyoiona kwenye katiba mpya pendekezwa ni kuwa kunapendekezo la mahakama ya kadhi ndani ya katiba hiyo.
Wengi ya wananchi pamoja na katiba pendekezwa kusambazwa katika taasisi na sehemu...
Hilo unalolishauri hao mashekhe wenye elimu walioko taasisi zingine wamelipigania sana wakawa maadui wakubwa tena wakuwindwa kuwa ni watu hatari wasipewe upenyo hata kidogo. Bilashaka serikali wana maslahi na taasisi hiyo isiyokubalika na kundi kubwa la waislam wanaojitambua. Kumbuka kuwa...
Ninachotaka nikutumia internet kwenye ipad yangu lakini sijui chakufanya. Nimejaribu kuomba setting kutoka airtel na vodacom lakini haziingii. Kwenye line kuna bundle lakini hakuna internet connection.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.