THE REDCARD
Member
- Mar 28, 2015
- 20
- 7
Hilo unalolishauri hao mashekhe wenye elimu walioko taasisi zingine wamelipigania sana wakawa maadui wakubwa tena wakuwindwa kuwa ni watu hatari wasipewe upenyo hata kidogo. Bilashaka serikali wana maslahi na taasisi hiyo isiyokubalika na kundi kubwa la waislam wanaojitambua. Kumbuka kuwa sasahivi kuna zaidi ya taasisi 11 za waislam ambazo ni kinyume na bakwata.
Bakwata imeshindwa kufanya mambo mengi sana hadi kusababisha migogoro ya kimaslahi. Haina shule na zile zilizopo ziko hoi,dispensary ziko hoi na hakuna miradi ya maana wanayofanya. Utaona taasisi zingine za kiislam zimepiga hatua kubwa sana kimaendeleo. Tukumbuke kuwa bakwata inang'ang'aniwa tu na serikali.