Recent content by The Rebel

  1. T

    Nimemfuma mke wangu akisagana na house girl

    Inabidi hg awapeleke mahakamni wote wawili kwa kumchangia kumfanya. Mnamnyanyasa kwa sababu ya umasikini wake.
  2. T

    Nimemfuma mke wangu akisagana na house girl

    Bhana miss wangu, mambo gani tena hayo!?
  3. T

    Je, kuna uhusiano wowote kati ya Red Indians wa Marekani na Wahindi wa India?

    Mimi nimeisoma hiyo document na nimekuwepo katika eneo la Monterey nikifanya research ya American Diversification.
  4. T

    Je, kuna uhusiano wowote kati ya Red Indians wa Marekani na Wahindi wa India?

    Sanamu ya mhindi wa kwanza kwanza kufika California akiomba kwa kuliangalia jua, kabla ya kwenda kuwinda.
  5. T

    Je, kuna uhusiano wowote kati ya Red Indians wa Marekani na Wahindi wa India?

    Kwa ufupi kabisa ni kuwa watu wote walioko Marekani ni wenye asili kutoka sehemu zingine za Dunia na ni eneo hilo lililokuwa la giza kuliko Afrika. Eneo hilo lilikuwa na Dubu wengi na wanyama wenye kutisha hadi binadamu alipofika na kubadilisha mfumo wa maisha ya ekolojia.
  6. T

    Je, kuna uhusiano wowote kati ya Red Indians wa Marekani na Wahindi wa India?

    Ipo historia fulani katika Jumba la kumbukumbu la the Capitol pale Washington DC inayoeleza namna hao wahindi walivyopatikana North America. Inadhaniwa kuwa wahindi hao walikuwa wavuvi kutokea India, China, Japan, Pakstani na maeneo hayo waliosombwa na dhoruba za bahari hadi pwani ya Mexico...
  7. T

    Wanaolalamikiwa kuwanyonya Wanamuziki, ndio waliopongezwa na Rais kwa kuwapigia simu

    Huu ni ugonjwa mbaya sana unaokutafuna. Nilimsikiliza Rais akiongea kile ambacho watu wengi tunakipenda. Aliongelea uchambuzi mzuri wa magazeti, akawasifu watangazaji tena kwa majina yao na wala hakumtaja mmiliki wa kituo, akawakaribisha wake na waume wa watangazaji hao ili wakutane siku moja na...
  8. T

    Fahamu kuhusu kisiwa cha Cape Verde

    Yeeees, nimesoma na baadhi yao mademu wao huko Monterey, California mwaka jana! Walikuwa changudoa wa chuo na hawakuwa na discipline ya wanaume.
  9. T

    Makosa makubwa matatu yanayofanywa na serikali ya Dr. Joseph Pombe Magufuli

    Mada yako yote unalia na bomoa bomoa. Sijui kama umefikiria vizuri. Serikali gani ilikuwepo wakati watu wanajenga mabondeni?? Umefikiria shida zinazopatikana wakati wa mafuriko? Uchafu ulioko huko je? Mateja wanaoishi huko? Ifike muda katika nchi hii watu wawaze sheria kabla hawajatenda kitu...
Back
Top Bottom