Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,022
- 9,292
Juzi, Muzee kapiga simu katika kituo kimoja maarufu sana hapa jijini dar es salaam.
Wamiliki wa kituo hiki ni wadau wakubwa sana wa Muziki hapa nchini na kwa miaka mingi wamenufaika kwa jasho la wasanii.
Sasa serikali inataka WASANII walipwe kila muziki wao unavyopigwa, Wamiliki wa Kituo hiki inasemwa kuwa wao wanataka kushiriki Kwa mlango wa Nyuma kuanzisha Kampuni itakayokusanya pesa za wasanii kwa niaba yao. WANATAKA WAWE MONOPOLY
Hata hivyo baadhi ya wasanii inasemekana wanapinga hiyo kwa sababu hawana mechanism ya kuverify kuwa kilichokusanywa na kampuni X ndicho chenyewe.
Sasa naconnect dots, inasemekana uongozi wa Kituo hicho umehaha sana kumtafuta JPM bila mafanikio, hata hivyo sasa naona kwa kupitia connections zao JPM kaingizwa mkenge, tayari wamefanikiwa kujisogeza kwake.
Kitendo cha JPM kwenda hewani, kusifu kipindi kinachotengenezwa na kampuni hiyo, tayari ni dhahiri Wamefanikiwa kwa asilimia 90 sasa kuwa karibu na Muzee!. Kumbuka SERIKALI INATAKA WASANII WALIPWE KWA MIZIKI YAO KUCHEZWA katika TV na Redio, lakini bado tu kuna watu bado wanataka waendelee kula jasho la Wasanii kiujanja.
Kumbukeni Kampuni hii inayomiliki kituo hicho cha redio siyo mara ya kwanza kujipendekeza kwa Watawala, Hawa wamewahi Kumfanyia sherehe ya Birthday Mtemi aliyepita, Walimuandalia boooooonge la Keki!, Sasa naona kwa Connections zao wanamtafuta Muzee, Muzee kuwa makini!.
Tangu lini kipindi ambacho huwa hakipokei maoni kutoka kwa hadhira, eti leo Muzee apige kutoa maoni yake na arushwe hewani?, bila shaka wazee wa connections za mujini walishaset mambo!
Ni wazi kuwa ule msemo wa all that is is done in darkness shall be revealed to light unatimia katika awamu hii, wale waliozoea kuishi kwa figisufigisu waache maana zama zimebadirika.