Je, kuna uhusiano wowote kati ya Red Indians wa Marekani na Wahindi wa India?

lbaraka

JF-Expert Member
Feb 24, 2014
393
248
Wale wanaoitwa red indians wa North America wana uhusiano wowote na wale wahindi wa kawaida wa India? Au ndo majina tu yameendana kiaina?
 
Story yake inarudi nyuma kipindi columbus anaingia america kwa mara ya kwanza, Alidhani kwamba ameingia kwenye upande wa wahindi baada ya safari ndefu ya kuzunguka dunia, ndipo majina kama red indians yalipoanza kutumika.

Kwa kifupi jina walipewa kwa makosa tu na sio zaidi, hamna mahusiano yoyote kati ya wahindi na wamarekani wazalendo, sijui kama hilo jibu limekusaidia.
 
Christopher Columbus alikuwa anatafuta alternative route from Europe to the Far East. On his journey he stumbled upon the continent of America and thought he had arrived in India. Hence the native Americans wakaanza kuitwa red Indians ila hawana uhusiano na Indians from Asia
Ipo historia fulani katika Jumba la kumbukumbu la the Capitol pale Washington DC inayoeleza namna hao wahindi walivyopatikana North America. Inadhaniwa kuwa wahindi hao walikuwa wavuvi kutokea India, China, Japan, Pakstani na maeneo hayo waliosombwa na dhoruba za bahari hadi pwani ya Mexico.

Baada ya kuwasili pwani hiyo waliona kulikuwa na wanyama wengi hivyo wakaachana na uvuvi na kuwa wawindaji. Walipoendelea kusonga hadi Marekani eneo la California sehemu za Monterey na San Fransisco wakaendelea na uwindaji hadi wahispaniola walipowasili na kuwafanya watumwa.

Columbus alifika eneo hilo na kuwakuta. Kwanza kwa kujua historia ya wahindi na kuwafanisha na alichokisoma huko kwao na ngozi yake nyeupe kutofautiana na ile ya wahindi ambayo ni nyekundu ndio akawaita Wahindi Wekundu.

Lakini ni ukweli pia alikuwa hajui kuwa pale ni America ila alipowaona yeye akajua amefika India. Kwa fikra yake na tamaa ya kufika India, ndo akaenda kujipachika eneo ambalo hadi leo lina utawala wake tofauti na maeneo mengine ya Marekani na linatumia jina vifupisho vya jina lake DC (District of Columbus) na ni eneo hilo alilolichagua Jenerali mwenye asili ya Uingereza, Mpiganaji na kiungo wa Majimbo ya Marekani, Rais wa kwanza wa Muungano, Washngton.
 
Kwa ufupi kabisa ni kuwa watu wote walioko Marekani ni wenye asili kutoka sehemu zingine za Dunia na ni eneo hilo lililokuwa la giza kuliko Afrika. Eneo hilo lilikuwa na Dubu wengi na wanyama wenye kutisha hadi binadamu alipofika na kubadilisha mfumo wa maisha ya ekolojia.
 
32a63515285c9a34cb738a8316305f8d.jpg

Sanamu ya mhindi wa kwanza kwanza kufika California akiomba kwa kuliangalia jua, kabla ya kwenda kuwinda.
 
Mkuu ukiwangalia kwa umakini Wahindi wekundu wanaonekana wana amchanganyiko wenye asili ya Kichina, Japan na Ufiripino hawafanani na Wihindi wa bara la Asia. Ila tukija kwa Waeskimo hao ni wachina moja kwa moja.
 
Story yake inarudi nyuma kipindi columbus anaingia america kwa mara ya kwanza, Alidhani kwamba ameingia kwenye upande wa wahindi baada ya safari ndefu ya kuzunguka dunia, ndipo majina kama red indians yalipoanza kutumika.

Kwa kifupi jina walipewa kwa makosa tu na sio zaidi, hamna mahusiano yoyote kati ya wahindi na wamarekani wazalendo, sijui kama hilo jibu limekusaidia.
Limenisaidia sana mkuu giftcharles
 
Ipo historia fulani katika Jumba la kumbukumbu la the Capitol pale Washington DC inayoeleza namna hao wahindi walivyopatikana North America. Inadhaniwa kuwa wahindi hao walikuwa wavuvi kutokea India, China, Japan, Pakstani na maeneo hayo waliosombwa na dhoruba za bahari hadi pwani ya Mexico.

Baada ya kuwasili pwani hiyo waliona kulikuwa na wanyama wengi hivyo wakaachana na uvuvi na kuwa wawindaji. Walipoendelea kusonga hadi Marekani eneo la California sehemu za Monterey na San Fransisco wakaendelea na uwindaji hadi wahispaniola walipowasili na kuwafanya watumwa.

Columbus alifika eneo hilo na kuwakuta. Kwanza kwa kujua historia ya wahindi na kuwafanisha na alichokisoma huko kwao na ngozi yake nyeupe kutofautiana na ile ya wahindi ambayo ni nyekundu ndio akawaita Wahindi Wekundu.

Lakini ni ukweli pia alikuwa hajui kuwa pale ni America ila alipowaona yeye akajua amefika India. Kwa fikra yake na tamaa ya kufika India, ndo akaenda kujipachika eneo ambalo hadi leo lina utawala wake tofauti na maeneo mengine ya Marekani na linatumia jina vifupisho vya jina lake DC (District of Columbus) na ni eneo hilo alilolichagua Jenerali mwenye asili ya Uingereza, Mpiganaji na kiungo wa Majimbo ya Marekani, Rais wa kwanza wa Muungano, Washngton. Umechimba kinoma mkuu.. Thanks.
 
Mkuu ukiwangalia kwa umakini Wahindi wekundu wanaonekana wana amchanganyiko wenye asili ya Kichina, Japan na Ufiripino hawafanani na Wihindi wa bara la Asia. Ila tukija kwa Waeskimo hao ni wachina moja kwa moja.
Kuna masimulizi pia yanayodai kwamba watu wa kale waliotokea Bara Asia wakavuka Strait of Bering (pafupi pale na visiwa kadha hivi) kuingilia Alaska. Ndipo wakaingia Bara Amerika na kusambaa hadi Amerika ya Kusini. Ndiyo maana unawaona wengine wanafanana wa Wachina au Wajapani kidogo.
 
Wanahistoria wanadai walihamia north America thousands of years ago kwa kutembea (trekking) during ice age (wakati huo dunia ilikuwa imeganda kwa barafu na wanyama wakubwa wenye manyoya na meno makubwa kama tembo MAMMOTH wali exist) ambapo walivuka baring straight (hili ni eneo la bahari lililotenganisha Urusi na Alaska) wakitokea Central Asia na Siberia.

Walisettle Alaska Kanada na wengine wakashuka Kusini Marekan Mexico central America hadi deep southern America.

Christopher Columbus alipotua mara ya Kwanzaa Americas mara ya kwanza San Salvador aliwashanga sana walikuwa uchi na wanawake wenye nywele ndefu nyeusi and very timid.

Ila Vikings nao hawa ni barbarians kutoka Skendinevia wanadai hao ndio wazungu wa kwanza kufika Americas na kuwaona hawa natives Americas. Refer ile movie ya pathfinder
 
That might be a plausable explaination of the mystery! Ila ma baharia wa Columbus waliwachia magonjwa ya kuambukiza Wahindi wekundu wa watu nasikia walikufa wengi kwa kuwa miili yao haikuwa na immune system ya kukabiliana na magonjwa ya STD nk.

Coming 2 Vikings - sijui vizuri historia, lakini sina uhakika kama waliwahi kuvamia Amerika kaskazini i.e USA na Canada ila nina uhakika kwamba waliwahi kuvamia Uingereza na Ujerumani - Uingereza kwa mfano niliwahi kuona artifacts walizo hacha behind including mapango ya pwani pwani ya Uingereza walipo fikia wakaya tumia kama spring board ya uvamizi, walikuwa vile vile na utaalamu wa iyeyushaji vyuma uliokuwa unafanyika ndani ya mapango - primitive tools zao for metal smelting bado zipo, kofia zao zenye pembe, mikuki inayo fanana majambia vyote hivyo vimehifadhiwa vizuri na Waingereza.

Inaelekea mijitu hiyo ilikuwa imeumbwa na minguvu ya kupindukia sijui shauri ya kula samaki kwa wingi!! Lakini mpaka leo Wascandinavia wengi ni watu wa miraba minne hata baadhi ya wanawake wako hivyo - warefu, miguu minene!!
 
Ukitazama Wikipedia labda utapata jibu. Navyofahamu hawa Red Race waliishi China muda mrefu halafu wakafukuzwa na Yellow Race,wakaenda North America kupitia Bering Straits 85,000 years ago. Distinguishing charactreristic yao.wana tabia ya monogamy. Kwa hiyo utaona Tibetans many times looking like Red Indians. Nasikia huko Siberia pia wapo wengi. Nilikuwa Northern India pia nimeona wahindi wanafanana na Red Indians.
 
Pia kuna africans walimigrate huko wakitokea pwani ya africa magharibi wakapelekwa na upepo hadi marekani na hawakurudi tena. Huwa wanajaribu kuwaita african america ili kuwatenga flani, wakati kulikuwa na nigas even before slavery and statues that proves so are still there. Pale hakuna mwenyeji
 
That might be a plausable explaination of the mystery! Ila ma baharia wa Columbus waliwachia magonjwa ya kuambukiza Wahindi wekundu wa watu nasikia walikufa wengi kwa kuwa miili yao haikuwa na immune system ya kukabiliana na magonjwa ya STD nk.

Coming 2 Vikings sijui vizuri histaria lakini sina uhakika kama waliwahi kuvamia Amerika kaskazini i.e USA na Canada ila nina uhakika kwamba waliwahi kuvamizi Uingereza na Ujerumani - Uingereza kwa mfano niliwahi kuona artfacts walizo hacha behind including pwani pwani walipo fikia na utaalamu wao wa kufua vyuma, kofia zao zenye pembe na mikuki inayo fanana majambia, inaonekana mijitu hiyo ilikuwa imeumbwa na minguvu ya kupindukia sijui shauri ya kula samaki kwa wingi!! Lakini mpaka leo Wascandinavia wengi na watu wa miraba mitatu hata baadhi ya wanawake wako hivyo warefu, miguu minene!!
mkuu heshima yako. Some historians claims that Viking reached the Americas even before Columbus probably 12th century but they had no major impact.

Mkuu in a one kana huko deep sana kwenye historia
 
Ukitazama Wikipedia labda utapata jibu. Navyofahamu hawa Red Race waliishi China muda mrefu halafu wakafukuzwa na Yellow Race,wakaenda North America kupitia Bering Straits 85,000 years ago. Distinguishing charactreristic yao.wana tabia ya monogamy. Kwa hiyo utaona Tibetans many times looking like Red Indians. Nasikia huko Siberia pia wapo wengi. Nilikuwa Northern India pia nimeona wahindi wanafanana na Red Indians.

Mkuu Andrew umenikumbusha kitu kimoja ulipo taja Siberia, mfano tuchukulie huyu Waziri wa Ulinzi wa Urusi wa hivi sasa sura yake anafanana sana na wa Tibet/China ambao gotta lot in common na red Indians - nafikiri anatoka majimbo ya Siberia, hata jina lake alijakaa kaa kama la Warusi.
 
Back
Top Bottom