Recent content by The real Daniel

  1. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Nmb hoye. Bye uzi pendwa
  2. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Kila mtu anatumia fursa leo
  3. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Mtu ana umaskini wa kutosha, familia inakula dagaa, mavazi ya mtumba lakini ànasomesha mtoto shule ya kulipia

    Kwa sasa hivi sababu pekee ya kumpeleka mtoto english medium ni usalama wake hasa kwenye hili jiji la dar. Ila kama shule ya serikali ipo karibu hakuna namna atasoma hiyo hiyo. Kwasasa uwekezaji mkubwa kwenye elimu ya msingi ni zaidi ya gambling.
  4. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Na huu mwezi kuna michango kama yote
  5. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Godubai
  6. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Umeshtuka mkuu. Be careful 🧐
  7. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Kibunda hichooo
  8. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Makato tayari. Tukutane jioni
  9. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mkongwe. Nashkuru wameweka saiv
  10. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Tusubiri tu, labda tutakumbukwa
  11. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mimi nmb ila mpaka sasa bilabila
  12. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    😁😁 Wametugawanya huyu kapata, huyu ana open nmb app kila dakika
  13. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Nimefika huko kimawazo lakini nokagundua nimejaza pepmis vizuri kabisa. Ngoja nisubiri tu🤝🤝🤝
  14. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Dah nmb wameamua kuwapa wengine na kutunyima wengine.
  15. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    😁😁😁 Wenge limeanza mapema
Back
Top Bottom