Recent content by The problem solutionist

  1. T

    DOKEZO Waajiriwa wa mwaka 2021 hospitali ya Manispaa ya Kahama hawajalipwa stahiki zao

    Kumekuwa na tatizo la ukosefu wa uwajibikaji na uwajibishwaji wa viongozi wa hospitali ya Manispaa ya Kahama mjini kwani kero ni nyingi wanazokumbana nazo wafanyakazi ikiwemo waajiriwa wapya wa mwaka 2021 pesa zao ambazo walipaswa kulipwa haki yao hawakupewa lakini kwenye salary sleep zao...
  2. T

    Marekani: Bilionea mwingine apanga safari ya kuchunguza Mabaki ya Titanic

    Danieli 12:4 Lakini wewe, Ee Danieli, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huko na huko, na maarifa yataongezeka. But thou, O Daniel, shut up the words, and seal the book, even to the time of the end: many shall run to and fro, and knowledge...
  3. T

    Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

    Kiongozitambua kuwa ulikosea toka mwanzo kwa kuanza kuzini nae kisha ndo ukaja ukaoa so usitafute mchawi nani mm nakushauri umrudie MUNGU wako utubu hyo dhambi ila kama ni mkristo rejea kusoma katika kitabu cha Wakorintho kiongozi pole sana kwa madhila hayo ila tambua kuwa ulishakosea toka...
  4. T

    Hivi hii tabia ya wanaume kugeuka nyuma tukipishana na mwanamke inaisha tukifika umri gani?

    Kutoka 20:14 imeandikwa usizini. MUNGU hakuweka maelezo kama iivyo amri zingine mfano amri ya Usitamani
  5. T

    Unadhani katuni hii inamanisha nini mdau?

    Watanzania wengi wamechoka kuwa kila anapotoa ripoti mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali hakuna hatua zinazochukuliwa wala hatujawahi kusikia kuwa kuna mtu kawekwa ndani kwa ubadhirifu wa fedha zilizotolewa ripoti hivyo uwajibikaji haupo kabisa kwahiyo bora Watanzania tukomae na kutafuta...
  6. T

    Je somo moja la faa kumkosesha mtu cheti cha ualimu hata kama sio somo la kufundishia?

    True! Pia wanasiasa wanadhani kuwa wao kwa kuwa wengi wana umri mkubwa wao ndo wenye mawazo chanya vijana wenye elimu zao hawana fikra chanya ila sio mbaya tutafika tu!
  7. T

    Je somo moja la faa kumkosesha mtu cheti cha ualimu hata kama sio somo la kufundishia?

    Nashukuru ndugu yangu lakini jitahidi kuwa na lugha yenye stara ndani yake hunijui nilivyo then unasema kuwa nitawaharibia watoto wenuits not fair! Kwa taarifa yako ndugu yangu nimewafundisha watoto wengi sana na huwa wananipa feed back nzuri kwa masomo ambayo niliwafundisha na wamekuwa na...
  8. T

    Je somo moja la faa kumkosesha mtu cheti cha ualimu hata kama sio somo la kufundishia?

    No shida shida sio kuwa nataka short cut hapana ila hoja yangu ni kwmba kwanini mabadiliko yanaletwa ghafla ghafla hivyo? Lakini pia vyuo vya ualimu vilikuwa chini ya NECTA it means mitihani ilikuwa inasahishwa kama wanavyosahishiwa O-levels na A-levels! Labda pengine ufahamu wang kuhus sera ya...
  9. T

    Je somo moja la faa kumkosesha mtu cheti cha ualimu hata kama sio somo la kufundishia?

    Mimi kama mdau wa jamii forum nimeona hoja na kero nyingi zikipatiwa ufumbuzi mbali mbali hivyo naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi hapa! Ni kuhusu wizara ya elimu hapa nchini ninaomba waliangalie hili kwa umakini! Mimi ni miongoni mwa watu waliohitimu mafunzo ya ualimu katika chuo cha...
  10. T

    Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    Mm namshauri kijana mwenzangu huyu kwamba kwanza kitu cha kwanza anachopaswa kufanya ni kushinda hofu , hofu ni adui wa binadamu maaana inamfanya aone kama hawez kabsa kufanikiwa kwahyo amejikuta muda mwingi anawaza badala ya kuamka na kuchukua hatua ya kupambana hawezi maaana muda mwingi hofu...
  11. T

    Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

    Ni vema ukaamua kutafuta mtu ambae atakuheshimu ndoa sio kitu cha lelemama mwanamke bora na mzuri ni yule ambae hata ongea yake mjibu yake kwa mume yanaridhisha lkn kwa majibu kama hayo it means anapanga kukutawala na pengine anapata ushauri kutoka kwa marafiki wsiofaa ikiwa umechukua jukumu la...
Back
Top Bottom