Recent content by the palm

  1. T

    Mzimu wa ajali: Basi la Upendo Coach na Super Feo yagongana leo

    Nakubaliana na sababu zako maana ni za msingi kabisa.......naomba tujaribu kutafuta data tu za hii hypothesis ya huyu mtu niliyemnukuu......ni uchunguzi tu kama tunavyofanya tafiti mbalimbali na tungepata hizi data za mwezi September ingetusaidia walau kuangalia kama katika sababu za ajali...
  2. T

    Basi La Kampuni Ya New Force Lapata Ajali

    Baadhi ya mabasi top speed ni 125km/h....angalia speed meter ya YUTONG utajionea mwenyewe.
  3. T

    Mzimu wa ajali: Basi la Upendo Coach na Super Feo yagongana leo

    Nimeyanukuu tu mkuu...hebu tupeane ka-homework tutafute data za mwezi Septemba katika miaka 5 mpaka Kumi iliyopita kuhusiana na ajali za barabarani tuangalie kama ni ukweli au la na pia tujiulize kwa nini iwe mwezi mmoja kuwe na rundo la ajali namna hii kama zinaambizana vile.....natanguliza...
  4. T

    Mzimu wa ajali: Basi la Upendo Coach na Super Feo yagongana leo

    "Wafanyabiashara/wamiliki wa haya mabasi(baadhi/wengi wao) ndo huwa wanatoa kafara ili biashara zao ziwaendee sawa ...kila mwezi wa tisa huwa ni kilele cha sherehe za utoaji sadaka na damu nyingi sana huhitajika"...mwisho wa kunukuu.
  5. T

    Kwanini watu wa mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe wengi wao ni weusi sana?

    Hujabahatika kaka mi nina mtoto wa kibena yan kama mlatino design chotara Fulani hivi........wapo weupe bhana yan mtoto mweupe alaf ana nywele natural aisee shikamooni sana watu wa Iringa....respect sana.
  6. T

    Natafuta kazi, nina shahada ya Finance

    Kweli wewe mtoto wa mbwa.
  7. T

    Sarafu ya sh 500 haina ubora!

    Kweli kabisa
  8. T

    Kwanini Josephat Mwingira ana ulinzi wa kufuru?

    Ha ha ha ha....Je tusifunge milango au tusiweke uzio kwenye nyumba kwa sababu MUNGU anatulinda...tumia na akili pia sio kila kitu imani
  9. T

    Pamoja na kwamba ni mchezo lakini....

    Mmh macho Yangu au huyu jamaa kakalia chupa duh hii michezo ipigwe marufuku bhana.
  10. T

    Hizi ligi za mabasi barabarani zimekosa dawa

    Ha ha ha ha ha dah hiyo route sijui nauli shilingi ngapi ha ha ha jamaa katoa mpya huyu.
  11. T

    Barabara ya Kilwa (Kariakoo hadi Mbagala) ni mali ya polisi?

    Ee bhana wapo wengi barabarani mpaka wanakera dah yan mpaka nilianza kujiuliza hizi wiki mbili wamejaa kibao kudadadadeki yan ukitoka kariakoo mpaka mbagala unaweza kukutana nao kama 30 hvi khaaa!!!gerezani,kona ya Bandar,ufundi,uhasibu,sabasaba,mtongani,kizuiani,zakhem na rangi Tatu dah hawa...
  12. T

    Nashauri Vyeti vya elimu ya juu vitumike kama dhamana ya wasomi kupewa mikopo

    Unahitaji elimu ya masuala ya fedha na mikopo mkuu.....kumbuka sehemu ya Pesa wanazokopesha watu c za kwao ni za wateja wa hiyo bank sasa ukikopa halafu ukishindwa kulipa hiyo pesa unataka benki wauze cheti chako ili Pesa yao irudi...pia kumbuka huwezi kuifahamu au kuwa mfanyabiashara mzuri kwa...
  13. T

    Ndege ya Emirates imegoma kutoa matairi ya nyuma

    Emirates inayokuja tz siyo models hizo ulizoziweka hapo maana naona AIRBUS A380 na BOEING 747.
Back
Top Bottom