Natafuta kazi, nina shahada ya Finance

Natafuta kazi, nina shahada ya Finance

financ

Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
8
Reaction score
0
Habari za muda huu wana JF.

Nina uzoefu wa mwaka mmoja wa kufanya kazi kwenye microfinance nimekua nikitafuta kazi hapa dar kwa muda sasa bila mafanikio mpaka nafika sehemu nakata tamaa kabisa naamini katika jukwaa hili naweza kupata msaada kwa sababu wapo watu humu JF wenye moyo wa kusaidia wengine nina degree ya finance lakini pia nipo tayari kufanya kazi yeyote halali

asanteni.

mawasiliano: 0765921312
 
Jitaidi kutafuta sehemu mbalimbali huku mikoani,mimi ni mwl,nitaongea na jamaa yangu fulani nione,0789443404
 
Habari za muda huu wana JF nina uzoefu wa mwaka mmoja wa kufanya kazi kwenye microfinance nimekua nikitafuta kazi hapa dar kwa muda sasa bila mafanikio mpaka nafika sehemu nakata tamaa kabisa naamini katika jukwaa hili naweza kupata msaada kwa sababu wapo watu humu JF wenye moyo wa kusaidia wengine nina degree ya finance lakini pia nipo tayari kufanya kazi yeyote halali asanteni.

mawasiliano: 0765921312

Jaribu kupeleka CV yako Opportunity Tanzania Limited wako pale Morroco mkuu.
 
Kazi zipo dar tu mkuu??? ingia mkoani kuna kazi nyingi zinakusubiri.... karibu kwetu nina kashamba kidogo takupatia.
 
nione ofisin kwangu kesho kabla ya saa sita mchana

Hujamuelekeza ndugu,huyo ni mtu ana shida na wote tunajua maisha yalivyo tait,kama kweli unaweza msaidia mpe mawasiliano vyema
 
Kuna microfinance company ipo survey pale, kacheck now,inaitwa african microfinance
 
Nawashukuruni sana wote mliotoa mawazo mbali mbali ili kusaidiana katika changamoto hii ya ajira, ninafanyia kazi ushauri wenu nawashukuru pia wale walionipigia simu kuonyesha kuwa mnaguswa na matatizo ya watu wengine Mungu awabariki.
 
biashara mjini imejaa mapato,mishahara ndo imejaa makato poleni ....niki 2 ft benpol SIO MIMI
 
Habari za muda huu wana JF.

Nina uzoefu wa mwaka mmoja wa kufanya kazi kwenye microfinance nimekua nikitafuta kazi hapa dar kwa muda sasa bila mafanikio mpaka nafika sehemu nakata tamaa kabisa naamini katika jukwaa hili naweza kupata msaada kwa sababu wapo watu humu JF wenye moyo wa kusaidia wengine nina degree ya finance lakini pia nipo tayari kufanya kazi yeyote halali

asanteni.

mawasiliano: 0765921312

Kaombee kazi chadema wana shida na watu kama nyiee
 
nione ofisin kwangu kesho kabla ya saa sita mchana

Dada!! Hebu acha kumzingua kaka'ko bhana!

Mi nangoja data za Aris bibie!

Kumbuka kuwa mwakani na sisi tutakuja kulia hapa nyumbani JF kusaka kazi!

Sasa tusiwatanie kaka zetu hata kidogo!
 
We dogo bado hujabalehe, hivi siajabu upo Chuo kikuu, taifa linaangamia kwa kukosa maarifa

Msamehe mkuu! Bado tuko masomoni unajua. Boom linatudanganya sana! Hali halisi kuhusu ajira bado hatujakumbana nayo uso kwa uso..
 
Njoo zanj hotelini wanatafuta watu km nyie maana wazawa wa hapa hawataki kufanya kazi mahotelini
 
Back
Top Bottom