Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,854
Habari zenu wadau wote na wapenzi wa safu hii,nadhani wote wazima na mungu anajalia afya,furaha na umoja katika mioyo ya wengi.
Leo kwa uchache tutafahamishana jinsi gani ya kumpokea mgeni uwanja wa ndege.
Ila kumbuka hii ni muhimu sana kwa wale wafanyao kazi za kuongoza wageni (TOURGUIDE) katika sehemu mbalimbali za nchi.
Jambo la muhimu:
1)MUDA=muongozaji <TOURGUIDE> anapaswa kuwasili katika uwanja wa ndege dakika thelathini kabla ya wageni kufika ili kuondoa usumbufu kati yake na wageni.
Lakini anatakiwa kuhakikisha gari lake ni salama kabla ya kwenda kuchukua wageni.
2)AFAHAMU NDEGE.
Ni muhimu na kufahamu ndege na namba za ndege ambazo wageni watatumia kuja nayo.
3)KUBEBA KIBAO[sighn board].
Ni muhimu, ni kibao kitakacho waelekeza wageni wako.
Kibao hiki kinakuwa na jina la kampuni ya utalii au jina la group ya wageni, pia inategemea ni kitu gani utaandika ili wageni wako waweze kukutambua.
Kwanza utatakiwa kuinua kibao hicho juu na wageni watakapokuona watakufuata wenyewe.
Hapo mtapeana salamu na kujitambulisha. ZINGATIA kuwa katika salamu tunatofautiana kulingana jamii,hivyo kuwa makini na watu utakao kutana nao.
4)WAKUMBUSHE iwapo wamesahau chochote ndani ya ndege na wasaidie kubeba mizigo yao hadi katika gari.
Wape habari juu ya njia watakazo tumia na hoteli watakazofikia.
5)KUWA MCHANGAMFU,kwani ni ishara kuwa waipenda kazi yao.
Dondoo hii inatosha kwa leo,tukutane tena siku nyingine.
Kwa maoni,maswali na ushauri=iddyallyninga@Gmail.com