Ni Kujitoa Akili tu. There's no moment nchi hii haijawahi kupigwa. Ni vile tu wapigaji wa nyakati hizi hawawapi nafasi wapigaji wa awamu iliyopita. As long as CCM rules, Tanzania haitakaa isipigwe.
Nimejifunza kufanya yanayo nihusu. Aliyepita aliniumiza kwa kigezo cha kujenga nchi. Aliyepo...
Ndugai and the company wana - muscles za kumtunishia m/kiti ccm!!!? Kweli!!?
Mi najua kwa hakika, kwa katiba iliyopo labda samia afe (God have mercy) lakn vinginevyo, atakuwa rais hadi 2030.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.