Mkeka wa Ndugai Unazidi Kutiki

Ndungai ni mlamba asali pia, hana tofauti na walambaji wengine, kama huamini angalia tumbo lake na mashavu yalivyotuna baada ya kulamba asali
 
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.

Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.

Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.

Ndugai atabakia kuwa mkweli kwa kile alichokisema kuhusu nchi kuuzwa kwa Spidi ya Turbo.

Lile jiwe kubwa la Ruby lililotoroshwa na hatimae kufika Dubai.

Huku tukidanganywa kwa picha ya Samia kuwa Burj el Khalifa.

Royal Tour ikiibuka na michango isiyosemwa hadharani, lakini Rostam akisaini mikataba ya siri kupitia hiyohiyo Royal Tour.

Ngorongoro wildlife Lodge na Manyara kapewa Mwarabu kimyakimya, huku ikihusishwa na ubia wa kigogo wa CCM.

Bwawa la Nyerere linacheleweshwa ili mradi wa Swahiba wa Makamba akamilishe Ujenzi na hatimae kuingia mikataba na Tanesco ili kuuza umeme wa Upepo toka Singida.

Mambo ni meeengi ila na hili la kuanza kuwauza wanyama hai wetu.

Tena bila kulihusisha bunge letu, ili liridhie kama ni sawa.

Kweli ilikuwa sahihi kwa CCM-Asali kutumia nguvu zote kuhakikisha Ndugai ananyamazishwa.

Yangu ni Hayo tu.

commonmwananchi
100101
View attachment 2251020View attachment 2251021View attachment 2251022
Hii habari haijakamilika kama hujaweka ya kwamba sasa ruksa kwa wanyama pori hai kuuzwa nje ya nchi.

Pia napendekeza hadi binadamu wa Kitanzania tuuzwe tu maana hakuna namna!

Mama anaupiga mwingi!!!
 
hivi tanzania tuna wabunge au tumewahi kweli kuwa na wabunge?
 
Semaa mkeka wake umechanika ,Tena pamoja na wacovid19,ila ukisema mkeka wa umoja ndio uliotiki nitaelewa🏃
 
Ndugai ni CCM, Samia ni CCM, CCM ni Ndugai, CCM ni Samia..... kwahio ni chama Cha Majizi conclusively
 
Tumesikia majuzi Tundu Antipas Lisu kalambishwa Asali sasa tusubiri usanii na UNAFIKI utakao kuwa umetamalaki,tutarajie yafuatayo:
1.Harakati za kinafiki
2.Kupandisha vibe lisilo maanishwa
3.kuwahadaa watanzania
4.kutangaza mikakati ya uongo uongo na ujanja ujanja.
5.kupunguza mazungumzo hasa kwenye suala kubwa la katiba na Tume huru ya Uchaguzi au kutokuendelea kulizungumzia kabisa mambo hayo.
6.kutudanganya hasa juu ya nn mazungumzo ya Mbowe,tundu Lisu na Rais Samia.
Kama huridhiki anzisha njia mbadala!
 
Hii nchi inabagazwa hatari.

Baada ya miaka miwili ijayo sote tutaanza Julia.

Kwa Sasa Wacha tuzodoane .
 
Ni Kujitoa Akili tu. There's no moment nchi hii haijawahi kupigwa. Ni vile tu wapigaji wa nyakati hizi hawawapi nafasi wapigaji wa awamu iliyopita. As long as CCM rules, Tanzania haitakaa isipigwe.
Nimejifunza kufanya yanayo nihusu. Aliyepita aliniumiza kwa kigezo cha kujenga nchi. Aliyepo anajenga nchi (hata kama ni pole pole) lakini naiona kesho.
One thing we should know is that African countries are constituents of Western and Asian Countries. Kama tunaamini nchi za Africa ni huru na zinajiamulia mambo yake zenyewe, HILO NDIO KOSA KUBWA KULIKO YOTE.
 
Na wameziteka akili za waafrika mazima,ili isitokee siku wakazindduka Toka usingiizini na kutambua kuwa wanaingizwa Chaka🤔
 
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.

Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.

Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.

Ndugai atabakia kuwa mkweli kwa kile alichokisema kuhusu nchi kuuzwa kwa Spidi ya Turbo.

Lile jiwe kubwa la Ruby lililotoroshwa na hatimae kufika Dubai.

Huku tukidanganywa kwa picha ya Samia kuwa Burj el Khalifa.

Royal Tour ikiibuka na michango isiyosemwa hadharani, lakini Rostam akisaini mikataba ya siri kupitia hiyohiyo Royal Tour.

Ngorongoro wildlife Lodge na Manyara kapewa Mwarabu kimyakimya, huku ikihusishwa na ubia wa kigogo wa CCM.

Bwawa la Nyerere linacheleweshwa ili mradi wa Swahiba wa Makamba akamilishe Ujenzi na hatimae kuingia mikataba na Tanesco ili kuuza umeme wa Upepo toka Singida.

Mambo ni meeengi ila na hili la kuanza kuwauza wanyama hai wetu.

Tena bila kulihusisha bunge letu, ili liridhie kama ni sawa.

Kweli ilikuwa sahihi kwa CCM-Asali kutumia nguvu zote kuhakikisha Ndugai ananyamazishwa.

Yangu ni Hayo tu.

commonmwananchi
100101
View attachment 2251020View attachment 2251021View attachment 2251022
Alafu baada ya porojo zote hizi hutaki katiba mpya unataka maendeleo,
 
Ila ni kweli Tanzania tuko wengi. Yaani kuna mtu anaweza kwa hiyari yake kabisa kumtetea Ndugai taahira yule! Kweli dunia ina maajabu yake.

JESUS IS LORD!!!
 
Hii habari haijakamilika kama hujaweka ya kwamba sasa ruksa kwa wanyama pori hai kuuzwa nje ya nchi.

Pia napendekeza hadi binadamu wa Kitanzania tuuzwe tu maana hakuna namna!

Mama anaupiga mwingi!!!
Mkuu nimeiweka hiyo habari ipo pia na bango lake lipo.
 
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika.

Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi.

Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya.

Ndugai atabakia kuwa mkweli kwa kile alichokisema kuhusu nchi kuuzwa kwa Spidi ya Turbo.

Lile jiwe kubwa la Ruby lililotoroshwa na hatimae kufika Dubai.

Huku tukidanganywa kwa picha ya Samia kuwa Burj el Khalifa.

Royal Tour ikiibuka na michango isiyosemwa hadharani, lakini Rostam akisaini mikataba ya siri kupitia hiyohiyo Royal Tour.

Ngorongoro wildlife Lodge na Manyara kapewa Mwarabu kimyakimya, huku ikihusishwa na ubia wa kigogo wa CCM.

Bwawa la Nyerere linacheleweshwa ili mradi wa Swahiba wa Makamba akamilishe Ujenzi na hatimae kuingia mikataba na Tanesco ili kuuza umeme wa Upepo toka Singida.

Mambo ni meeengi ila na hili la kuanza kuwauza wanyama hai wetu.
Tena bila kulihusisha bunge letu, ili liridhie kama ni sawa.

Kweli ilikuwa sahihi kwa CCM-Asali kutumia nguvu zote kuhakikisha Ndugai ananyamazishwa mapema iwezekanavyo.

Yangu ni Hayo tu.

commonmwananchi
100101
View attachment 2251020View attachment 2251021View attachment 2251022

Kwa taarifa yako hata huo mswaada wa kuuza wanyama nje ukienda bungeni utapita tu. Wameamua waanze kuuza kisha watapeleka bungeni ili kutimiza matakwa tu kisheria, lakini sio kusubiri ridhaa ya bunge. Ukishakuwa na bunge la majizi ya kura, usitegemee wapinge chochote kinacholetwa na serikali.
 
Back
Top Bottom