Recent content by The Nile crocodile

  1. The Nile crocodile

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu aliniacha sababu boksa zangu ni za vitenge!

    Labda alihisi ni mganga
  2. The Nile crocodile

    JamiiForums Tanzania Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga

    Mwanamke mpe Mali na pesa ila usimpe moyo.
  3. The Nile crocodile

    JamiiForums Tanzania Ipi njia nzuri ya kuweka akiba?

    Kuna Baadhi ya wachangiaji wameshauri kuhusu fungi la 10. Nashauri Hilo fungu la kumi ni Bora ukawatumia wazazi wako kuliko kupeleka kanisani.
  4. The Nile crocodile

    JamiiForums Tanzania Hamasa za Ahmed Ally kwa mashabiki sio za kitoto

    Aba yellow 💪
  5. The Nile crocodile

    JamiiForums Tanzania Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

    To kill is weakness, that's what I meant
  6. The Nile crocodile

    JamiiForums Tanzania Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

    Mkeo akikuambia mtoto ni wako ni wako
  7. The Nile crocodile

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kaharibu gari langu

    Kupatwa Kwa magari..
  8. The Nile crocodile

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya nchi ya DRC kuwa na amani ni kuishtaki RWANDA kwenye mahakama ya EAC

    Ndio Kuna tetesi ya kwamba Kagame anaiba rasirimali za Congo... Lakini watu wengi hawajui chimbuko na kiini hasa Cha Rwanda kuwasaidia waasi huko mashariki ya Congo hasa maeneo ya Kivu. Wengi wetu tunategemea vyanzo vya habari vya kimagharibi ambao wao Kwa kiasi kikubwa wanahusika na mgogoro huu...
  9. The Nile crocodile

    JamiiForums Tanzania Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130

    Nipo pamoja na Al Jazeera hapa
  10. The Nile crocodile

    JamiiForums Tanzania Video: Kuna Mwafrika alikuwa kashikilia ki-note pad kilichokuwa na makaratasi, Mchina akakipiga kofi

    Alivyokong'otwa mwanzo nikaisi mchina ataleta mapigo ya kina jack chain au mjomba lee
  11. The Nile crocodile

    JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus wa BBC Swahili, amesema maisha ya London Magumu huwezi hata kusevu

    Hizo ni propaganda za Westerners kutumia waandishi wa habari wa kiafrika kuwaaminisha wazamiaji wa kiafrika au wenye mawazo Kama hayo kuwa Bora wabaki afrika kwani huko ni kugumu zaidi ya afrika. Ni designed program nashindwa kuelezea vizuri hapa
  12. The Nile crocodile

    JamiiForums Tanzania Kiwanda Kipya cha Drone Mpya kwa jina la Gaza Chalipuka

    Just a hoax like other hoaxes
Back
Top Bottom