Sishangai!! Kenya king'amuzi cha dstv kwenye kifurushi cha compactplus wanalipa jero ya kwao, sawa na buku 5 hukukwetu! Ila sisi tunalipa zaidi ya tsh62000! Hayo yote ni kwasababu ya kodi kubwa wanayowekewa na serikali yetu! Hata mabati kenya ni bei nafuu kuliko huku tz!
ila ukweli mwamba unateseka sana! Ila wahuni tumeshang'amua pointi yako! Unataka uhurumiwe na manzi yeyote wa humu jf!! Sema nini, kakope kamba kwenye duka lililo karibu nawe, then utafute mahali uining'inize hiyo shingo yako huku miguu ikiwa chini ila usijinyonge! Uning'inize shingo tu kwa kama...
usijifanye hujui! mi namaanisha israel anachokifanya ni kizuri? Turning hundreds of childs into orphans, homeless and permarnent disables! Iko sawa hiyo?
mama mchungaji kaa pembeni, usijifanye haujui humu jf kuna baadhi ya member pimbi ambazo hazistahili kujibiwa vizuri!! Hata yesu alimwita Herode mbweha! Je alifanya dhambi? Jibu ni hapana! Na mimi nimemwita pimbi! Mnyama alieumbwa na mungu!
waislamu ni waongo! Ila bila kujali dini wala nini, science inaelezea kuwa the big bang bado inaendelea yaani ni kama mwanga ambao bado haujapotea, kama moto ambao haujazimika! Ila at the center of the big bang kuna nguvu fulani ambayo ndo itaua hii big bang then mambo yataanza upya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.