1)UNYAKUO wa watakatifu utatokea mapema 2026-2030 ukitangulia kabla ya nuclear war inayofuatia soon..mabomu ya nyuklia yataanza kutumika
2)vita ya tatu ya dunia WWIII
3)Mafuta hayatakuwepo kabisa...watu watatembea kwa miguu,panda magari ya kilukokotwa na wanayama (farasi,punda) ama baiskeli.
3)chapa ya mnyama 666 hutaweza kununua wala kuuza bila kuwa na chapa mkononi ama paji la uso(ufunuo wa yohana 13)
Digital currency,matumizi ya cardless cashless system ,..CHANJO ya lazima ambayo itakuwa na microchip..hiyo chapa ya mnyama itakuwa ndogo very micro nano meter..kupitia chanjo au small scratch...CHANJO MPYA KAMA ILE YA KORONA IKITANGAZWA MSICHANJE HIYO NI CHAPA YA SHETANI..ambayo itakubadilisha thinking yako na roho yako itakuwa mbaya na katili kama shetani itakufanya utawaliwe na shetani ..
4)dhiki kuu duniani
Mazingira tabia nchi kubadilika kuharibika kutokana na adhari za matumizi ya silaha za nyuklia..
HALI YA MAISHA katika kila nyanja kila eneo itakuwa ngumu sana ..kila kitu kitakuwa ni shida.
Tuwe tayari kwa UNYAKUO,ili siku hiyo tusiachwe duniani..LEFT BELOW..(naongea na walioamini wanaelewa maana ya unyakuo ndio huo ..muda umefika)