Recent content by The mission 2017

  1. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Mdada unaolewa huwezi kupika wala kufua kiafrika, hii imekaaje?

    Safi, kijana uko sharp 🤣.
  2. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania KFC SIELEWI kabisa

    Wabongo bhana mtu kauliza anataka kujua, nyie mnampopoa.
  3. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz na Zuchu waonyesha sura ya binti yao Sandrah (Sanura)

    Dah toto lina siku 40, Linatuzidi utajiri wababa wenye miaka 40. life z not fair.
  4. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Mdada unaolewa huwezi kupika wala kufua kiafrika, hii imekaaje?

    Umemleta getho kupika? Focus kijana na vitu vya msingi.
  5. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye fedha, kipato kikubwa, kipato kidogo, wana uhakika wa kupata sex ila sio love

    Uwe nazo usiwe nazo, Wembe ni Ule ule. "No one is above the program"
  6. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Nimeangukia Demu wa Mtaani: Utamu Sijawahi ona!

    Another satsfied customer 🔥
  7. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Kituo Kikuu cha mabasi cha Magufuli?? Kituo Kikuu cha treni/SGR cha Magufuli??

    Shida ipo maana tunawagawa watumiaji based on itikadi zao za siasa. Tuendekeze kuname after names ambazo zipo political neutrality.
  8. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Rais wa MAT: Magari matano ya kuyapisha Barabarani.

    Duh itabidi nirudi tena VETA driving school, kuna vitu siku elewa.
  9. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Kituo Kikuu cha mabasi cha Magufuli?? Kituo Kikuu cha treni/SGR cha Magufuli??

    Sio lazima mkuu, Tunaweza rename vituo vyetu against mbuga zetu au hata wanyama. Hayo majina ya kisiasa they are useless
  10. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu Kuhusiana na wanawake

    Millenials ndo wametuharibia wanawake zetu, Wamewalea vibaya na walivo kua wakaanza kuwa dekeza na ma iphone.
  11. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Mdada unaolewa huwezi kupika wala kufua kiafrika, hii imekaaje?

    Kwa sasa kupika + kufua sio issue tena, Japo nategemea demu wa hv atoke rich familly.
  12. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Gari ya serikali tinted ya nini?

    Kama hatutaki tintled iwe ni kwa magari YOTE private & public.
  13. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Ukiandika mali zako kwa jina la mama yako, hizo ni mali zake. Anaweza kuziuza, akifariki ni mali za urithi za watoto wote

    Mimi Nyumba ya kukaa na Jenga kwa ajili ya Mke na watoto wake 🤣. Mali zinazo fuata baada ya Nyumba ya kuishi i.e Mashamba, Nyumba za kupangisha, Magari n.k ndo zitakua na Uangalizi tofauti. Ila Nyumba ya kuishi ni exclusive kwa K itakayo amua kunizalia not otherwise.
Back
Top Bottom