Recent content by The me

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hii kali

    Wote machizi na wote waganga.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungemfanya nini mlevi huyu?

    Akili za pombe tunazijua jamani.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kama unabisha jaribu

    Dah!!!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hivi kuvaa mlegezo ni fasheni au ni uchizi?

    Globalization!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Askari wawili wauawa na majambazi Kongowe

    Peri sio uzembe watanzania tunatumia vizuri kauli za viongozi wetu. "Wapigwe tu"
  6. T

    JamiiForums Tanzania Askari wawili wauawa na majambazi Kongowe

    Lakini kuna kauli ya "NA WAPIGWE TU" sasa hii kauli inatumika kwa wote sio polisi tu wapige raia hata nao hupigwa.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?

    I have got something.
  8. T

    JamiiForums Tanzania ITV kuna ubaguzi kwenye utoaji habari?

    Kwa nini huwa wanapitisha pale chini vichwa vya habari. Kwa nn wasiweke hiyo kwenye makala ushachelewa wewe.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hakika wanawake ni viumbe dhaifu!!!

    Usikurupuke. Tulia,fikiria then Andika.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Imeniuma sana, vijana tuwaheshimu mama zetu

    It doesn't matter what kind of tribe she/he is,moron is moron. May god curse him.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hii ni dharau kwa wachaga

    Wa hapahapa Huyo wako mchaga wa shamba.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Padri feki anaswa Morogoro!

    Lengo lake lilikuwa mkwanja tuu.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Majambazi waendeleza ubabe

    Nae kimbelembele tu wenzake wana silaha ye anakwenda kichwakichwa, kwani sinema hiyo.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Diamond platinumz atupiwa jini, lampata mama'ke!

    Nonsense kabisa hakuna lolote nyota inafifia na hiyo njia ya kuing'arisha tu,hakuna cha jini wala shetani km mbovu mbovu tu.
Back
Top Bottom