Recent content by the manager

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wananchi Songea: Lowassa ni mpango wa Mungu...

    Nyando acha hizo wananchi gani kwani umepewa sh ngapi uwasemee? Wewe ni fisadi team
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni udhamini au campaign

    Kiongozi wa ccm kuweni makini Na taratibu za chama sheria inamtaka mtu apate wadhamini 30 tu kila mkoa ili kwa mikoa 15 apate wadhamini 450 Na ndio fomu zinavyoonyesha swali kwanini mtu anatafuta wadhamini zaidi ya sheria inavyotaka huo ni ukiukwaji wa makusudi wa sheria za chama ni imani ya...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars afungishwa virago

    TFF hawàna jipya malinzi alifikiri ni yanga
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa waimbaji wa injili kusheresha mikutano ya kisiasa?

    Ni lazima Mkuu walikwishavuta mkwanja chezea mafisadi wewe mpaka mashehe maaskofu kula fedha
  5. T

    JamiiForums Tanzania Lowassa avunja record tena, elfu 58 wamdhamini Iringa..

    Jàmàni wadhamini wote hao aliwakuta ofisi ya CCM iringa au kama utaratibu wake wa fomu kutangulia Nyumba kwa Nyumba Na sh.10,000/= kisha yeye wanaenda kukabidhiwa? Fomu ya udhamini ina idadi gani ya wadhamini.au fomu zake ni tofauti Na zilizotolewa Na ccm makao makuu? Mzee kaukania uraisi hata...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Mr President acha kumkufuru mungu hakika Na ulaaniwe huwezi kumfananisha means Na adamu Na binadamu mwovu Na ulaaniwe huyo binadamu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio vibaraka wa Edward Lowasa miongoni mwa waliochukua fomu kuomba ridhaa ya CCM urais 2015

    Chonde chonde chama cha mapinduzi raisi awe mwandosya/ Jaji ramadhani hao wengine kama mlivyosikia mikakati yao ya kulinda ufisadi hata Mwenyekiti wa time ya kuchunguza RICHMOND
  8. T

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    Kitaja hebu wambie masisiemu wenzako walikate jina LA lowassa msikie mziki wake
  9. T

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Yule wa mama Mchungaji mvamizi wa viwanja
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Lowassa hawezi kuzungumzia ufisadi hata umpigie kwani atakuwa anajiumbua
  11. T

    JamiiForums Tanzania Lembeli: Lowassa naye asafishwe

    Bwana Lembeli hebu fafanua Lowassa asafishwe kwani amechafuka Na lipi? Na kama ni mchafu mbona mnamshangilia Na kumsifu kuwa anafaa kuwa rais huku mkijua ni mchafu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wanaokwenda Dar kutoka Mbeya kwa Baskeli Kumpongeza Rais Kikwete Kuingia Ikulu

    Ccm Bwana kwani wale wa Chadema walikuwa wanaenda kumdhuru raisi? Ccm kwa kuiga we acha tu
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Kweli kabisa CCM ndio adui mkubwa wa uisilamu mkapa aliwadanganya kuwa mahakama ya kadhi itaundwa Na kikwete pia je imeundwa?
  14. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaumbuka Geita mjini

    Eddy hata wewe mafisadi wenu wanataka uraisi wakiongozwa Na papa lao EL mwambie Kinana kajaribu kukata jina EL msikie mziki wake achana Na chama dume cdm
Back
Top Bottom