Lembeli: Lowassa naye asafishwe

Lembeli: Lowassa naye asafishwe

Halafu kwanini suala hili huwa linakupanikisha sana wakati wewe ni mama mtu mzima sana kwani unahusika?

hapana kwa sababu umesema kuhusu wake za watu ndo nataka nijue kama mke wako au wewe umetendewa
 
Kwa kusema hivi Lizaboni unathibitisha kuwa Maswi, Mhongo, Nchimbi, Vuai, Matayo na wale waliosafishwa walikuwa wachafu. Na kama ni hivyo hatujui hiyo chemical iliyowasafisha kuwa ni effective kiasi gani hivo wanabaki kuwa contaminated!???
 
Mimi nipo tofauti sana na wewe sijui kama anamuogopa ila anachoonesha ni ukweli juu ya uchafu wa mzee Lowasa.

Unatakiwa utoe uthibitisho wa ufisadi wake mweshimiwa. ndio lowasa ni tajiri sikatai je ni nani ndani ya CCM ambaye ni msafi coz najua katika mfumo, kama mfumo mzima upo corrupted hapo hakuna msafi but wamezidiana tu viwango.
Na ni kwanini viongozi wachache wa CCM wenye maslai binafsi na hii serikali ndio wanamchafua lowasa hapo unaona wapo sahihi.
Na kutumia nguvu kubwa kuzidi kumchafua hapo kunakitu.
 
Lizabon mbona unamuogopa sana lowasa na unatumika kirahisi sana katika kumchafua mtu ambaye hata ukienda mahakamani na kufungua kesi dhidi yake uwezi shinda coz huna uthibitisho wowote wa ufisadi wake.
Ninahisi wewe ni mtu ambaye unamrija mpana sana wa kutafuna kirahisi fedha za wavuja jasho katika taifa hili.
Na unahisi huyu mweshimiwa akiingia madarakani hatakuharibia mirija yako coz inaonesha ni mvivu sana katika majukumu yako.
Na kwasababu umewekwa na mtu katika hiyo position ambaye ni mla jasho la wananchi kirahisi kama wewe

Ninahamini wote wanaompinga lowasa kuwa raisi wa hii nchi ni mafisadi PAPA.

Umeongea vizuri sana mkuu...nachokiona hapa ni watu wanatumika,sasa wajiandae kisaikolojia na waliowatuma
 
Last edited by a moderator:
Wasira aliwahi kusema kuwa hakuna chma cha mafisadi ila kunamafisadi ndani ya vyama kama alivyo Lowasa kwa ccm na Mzee slaa kwa chadema yote haya ni mafisadi tena mpaka kwa wake za watu.

Ila kweli huyu mzee ana tabia mbaya. Hivi tangu akugonge hajakurudia tena?
 
Wakuu nazani hii nchi ina sheria na taratibu ..je ulishawahi kusikia kesi mahakamani inayomuhusu Lowassa?? Je ,ebu weka document hapa ambayo itatoa uthibitisho wa moja kwa moja kuwa Lowassa ni mwizi

Hawana kaka hawa ni wasaka tonge ndani ya lumumba na kutumiwa kama punda.
 
Sure mkuu ameanza kuiba akiwa mdogo sana ndiyo maana ilifika wakati anamali nyingi kuliko hata za nyerere ambaye alikuwa Rais wake kwa wakati huo sasa sijui itakuwaje kama kipindi hicho akiwa na mali nyingi kuliko nyerere.
Kama wewe ndo anausongo na wewe kweli, akikamata nchi jiandae kukimbia. Awe mchafu au msafi, lowassa kajipanga. Na hakuna wa kumzuia ndani ya CCM. Poleni magamba, mnalo hilo.
 
Hahahahahaaaaaaaaa! Hivi kuna fisadi papa nchi hii kushinda Lowasa? Taratibu mkuu. Usilete mzaha hapa. Infact simuogopi Lowasa. Ninamsema wazi wazi na ninamsema kwa mambo ya kweli. Hutaki acha

Nishawishi kwa fact kaka ili niamini hizo tuhuma. Tunajua kafulila aliibua tuuma za escrow mkamuita tumbili but document alizokuwa nazo zilimuibua kuwa shujaa wa taifa hili kwa kusema ukweli coz ilikuja kujulikana kuwa yupo sahihi na hoja yake.

Mimi nataka unishawishi na data na vile vile nipo tayari kukuchangia cost za kufungua kesi dhidi ya lowasa.
Kwa hizo data utakazo nishawishi nazo kuwa amehusika kwenye ufisadi huu.
 
Hahahahahaaaaaaaaa! Hivi kuna fisadi papa nchi hii kushinda Lowasa? Taratibu mkuu. Usilete mzaha hapa. Infact simuogopi Lowasa. Ninamsema wazi wazi na ninamsema kwa mambo ya kweli. Hutaki acha
ufisadi wa Lowasa unaisafisha CCM?Kumbuka alikuwa PM huyu,na mnasema alianza toka junior mpaka mkampa u-MP,do u mean mnafuga wezi?huyu anatamba sana katika mbio za urais.do u mean hamna ubavu wa kudhibiti wachafu kama Chadema kwa Zito?
 
Bwana Lembeli hebu fafanua Lowassa asafishwe kwani amechafuka Na lipi? Na kama ni mchafu mbona mnamshangilia Na kumsifu kuwa anafaa kuwa rais huku mkijua ni mchafu
 
Lembeli, Olesendeka, Mengi, Shelukindo n.k walikuwa mstari wa mbele kuwashambulia akina Jk eti wanawalinda akina Lowassa na Rostam lakini leo ndo watetezi wakubwa wa Lowassa, Siasa ya Tz ni Kama Bongo movies ukimaliza ku watch Futa kichwani usijaze saver
 
Lembeli, Olesendeka, Mengi, Shelukindo n.k walikuwa mstari wa mbele kuwashambulia akina Jk eti wanawalinda akina Lowassa na Rostam lakini leo ndo watetezi wakubwa wa Lowassa, Siasa ya Tz ni Kama Bongo movies ukimaliza ku watch Futa kichwani usijaze saver

Ndani ya CCM hakuna wa kusafishika hata kwa still wire
 
Back
Top Bottom