Recent content by The man1

  1. The man1

    Kazi Iendelee hadi 2035

    aaah Miradi ya CCM huwezi Linganisha na Vyama vingine
  2. The man1

    Msaada: Mashamba ya kulima mpunga yanayokodishwa au kuuzwa

    Ligoma, LIgera-Namtumbo..Pia waweza nunua mbolea nakukopesha, mfuko mmoja waweza pata gunia moja mpaka mbili baada ya mavuno vile vile mashamba yapo
  3. The man1

    Namtumbo haikustahili kuwa Ruvuma bali Mtwara

    Namtumbo baada ya kuua kiwanda cha Tumbaku ndio basi tena
  4. The man1

    Kijiji gani ardhi yake ina rutuba, na gharama za kilimo ziko chini?

    ardhi ya kule ubustiwa na mbolea tu, upate mbegu mpya, mvua za wastani..miezi hii ndio yakaribia uandaaji wa mashamba
  5. The man1

    Kijiji gani ardhi yake ina rutuba, na gharama za kilimo ziko chini?

    kwa songea kuna maeneo uanza elfu 25, 30 mpaka 35 kwa hekari...
  6. The man1

    Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

    nenda pale kusini Mbinga msimu wa kahawa huu, mwezi wa 12 ingia Lindi kwenye korosha , mwakani kuanzia mwezi wanne tano ingia Mirui kwenye ufuta..
  7. The man1

    Unawezaje kuongoza hisia?

    AHah mambo yakuanbiwa wanukia perfume ya kike na sivyo
  8. The man1

    Licha ya kuwa namba 1 kwa viwanda Tanzania Mkoa wa Pwani ni kati ya Mikoa 10 masikini

    Huku kwetu kuna makaa ya mawe naviwanda viko Mtwara, na bado mtwara ipo kwa List, bad news
  9. The man1

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Ujinga ni kutaka kutumia logic kwenye mambo yasiyo na Logic
  10. The man1

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    nawezaje kukuaminisha kitu usichoamini
  11. The man1

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    si kupotea, ni kutoonekana kwa wakati huo tu
  12. The man1

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    SIKU nimeenda chukua cheti shule na daftari la madeni alikuonekena ikabidi wanipe tu cheti ......
Back
Top Bottom