Hakuna biashara ya mtu mmoka mahali popote duniani. Huu ni mtandao ambao mizizi take iko kwenye dola.
Hapa hatuna viongozi wenye uchungu na nchi hii, wote wameoza.
Tanzania inahitaji watu ambao watafuatilia sana elimu ya bongo. Najua watu watambeza sana Mbatia lakini watu wa aina yake lazima wasimangwe. Yeye amejikiti hapo na mwingine atafute mahali pengine pa kufuatilia awe maarufu.
Nadhani wanastahili kufanyiwa hivyo ili mradi kanuni na sheria za bunge zizingatiwe. Heshima ya bunge inapotezwa na wabunge vijana wanaotaka umaarufu bila kujali madhara yake kwa jamii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.