Mbatia aibua madudu mitihani darasa la 7!

Tanzania inahitaji watu ambao watafuatilia sana elimu ya bongo. Najua watu watambeza sana Mbatia lakini watu wa aina yake lazima wasimangwe. Yeye amejikiti hapo na mwingine atafute mahali pengine pa kufuatilia awe maarufu.
 
All I can see now is that James Mbatia is committed and devoted to the education system of the Country! He's digging so deep to show us where we are messing around! The guy is doing a lot, he need a back up from intellectual class to unveil these faults in the education system.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hongera bwn Mbatia kwa juhudi zako ktk kutafutamema kwa Elimu ya tanzania, tangu uanze kusema mimi hukusikia lakini kuna watu wameziba masikio kana kwamba hawasikii na hayawahusu! lakini kizazi hakikomei kilichopo;kuna kinachokuja, na kingine na kingine hivyo mtu yeyote asijidai kuwa wanawe hawaathiriwi na mfumo huu! Taifa ni hili hili letu sote, nani anatujengea jamani! NI SISI wenyewe, tufuateni ushauri ulio BORA, mbona ushauri mbovu kabisa tunaukubali, iweje tunachagua vya kubomoa na tunaacha vya kujenga!
Bwana Mbatia, natamani kuliona swali no.33, na pia jibu lake kama ilivyo kulingana na mtunzi wa swali.
 
Back
Top Bottom