Recent content by The Limit

  1. T

    Zitto: Hakuna zaidi ya Lissu 2020 kwa Urais

    ningependa upinzani ulioungana kwani umoja ni nguvu.ila sijui umimi wa wanasiasa kama watauacha.by the way mnaungana ili kuongeza wanyonge kama hawa jamaa zetu wanavyojinadi au mnalengo la kumkomboa mwananchi?lets pray.
  2. T

    Kuhesabu muda

    mambo ya longitude yanahusika
  3. T

    CAG agoma rasmi kujiuzulu adai hakuna kipengele kwenye Katiba alichovunja kinachomlazimu ajiuzulu

    Huyu ndo profesa wakutufuta machoz labda maana wasomi wengine ndo wanaaibisha taifa letu
  4. T

    Wanaume: Njia za kuchelewa kumwaga mapema

    Duuh wengine mademu wametukimbia kwasababu ya kuchelewa wanahisi kila ukichelewa unatumia dawa ili umkomoe.
  5. T

    Ushauri: Ama Rais wa Tanzania aende DRC Congo au Rais wa DRC Congo aje Tanzania kupeana mikakati ya uongozi na biashara.

    True kiongozi diplomasia ikizorota na uchumi wetu utazorota vilevile nashashauri hata maneno kama haya angeambiwa mkuu wetu akikataa ushauri aambiwe kama umbeya tuu.
  6. T

    Baada ya populists sasa ni age ya radicals with reality

    Ila maradicals ndo hao wakati mwingine wanaingiza dunia kwenye machafuko kama kipindi cha Mussolini nk
  7. T

    Kwanini ushindi wa Trump ni faida kubwa kwa Tanzania?

    Nimependa maana hata wakwetu akileta fyokofyoko atampa za uso
  8. T

    Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

    Mm pia ni mashoto nilioyasoma hapo mengi ni ya kweli maana hata mmnimetafuta sana tofaut yetu na Wanaotumia kulia hata mtaani na Chuo nilichotoka niliona yanaendana .
  9. T

    Huku ni kupendwa tu au kuna kingine?

    Acha hela za mzee bas
  10. T

    Sehemu ya tatu: Huyu kaka nampenda, ila siwezi kumwambia

    Haya nyama unyamani, jiwe juu ya jiwe
Back
Top Bottom