Recent content by The Invincible

  1. The Invincible

    JamiiForums Tanzania Kamari imeharibu kila kitu kwenye maisha yangu

    Uandishi mwingine wa kizembe huu => so narrow-minded
  2. The Invincible

    JamiiForums Tanzania Kamari imeharibu kila kitu kwenye maisha yangu

    Pole mkuu Kuacha kamari ni mchakato, sio kitu cha mara moja. Kama walivyosema wengine, ja,mbo la kwanza umeshalifanya. Yaani kutambua kuwa kamari ni tatizo. Fanya juhudi kuachana nalo. Hutafanikiwa mara moja. Unaweza kuacha kwa miezi 2/3, ukarudi tena kwa nguvu. Lakini alimradi una nia ya...
  3. The Invincible

    JamiiForums Tanzania Kamari imeharibu kila kitu kwenye maisha yangu

    Hapa umeandika kizembe. Binadamu tumeumbwa tofauti sana. Kama wewe huna mihemko, shukuru. Huyu muanzisha mada anaonekana kuwa addicted. Unamshambulia mtu aliyekuwa addicted ili iweje? Mpe ushauri wa kuondokana na tatizo lake.
  4. The Invincible

    JamiiForums Tanzania Joram kiango vs Willy Gamba

    Willy Gamba...James Bond. Kwa walioangalia movies za James Bond, Musiba kapita humo.
  5. The Invincible

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Unastahili kupuuzwa tu
  6. The Invincible

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

    Wewe unaonekana ni tapeli tu wa mtandaoni. CRDB mambo bado.
  7. The Invincible

    JamiiForums Tanzania Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    Chifu Hangaya alibebeshwa tu mzigo huu. Hili jambo lilibuniwa wakati wa lile jibwa kutoka burigi. Alhamdulilah!
  8. The Invincible

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki sherehe za Jubilee ya miaka 25 ya Mhashamu Askofu Niwemugizi, aombwa kusamehe kodi hospitali za kanisa toka mwaka 2015

    Inaonekana aliumizwa psychologically na muzee ya burigi..rieh
  9. The Invincible

    JamiiForums Tanzania St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    2,8 M per annum
  10. The Invincible

    JamiiForums Tanzania Tuache Ufyatu: Ni Kama Bado Tunadeka...

    Ha ha haaa Ulienda msibani bro? Hatimaye
  11. The Invincible

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kufanya Julai 1, 2021 kuwa siku ya Katiba

    With Magufuli in power, a new strategy was required. It was effective. With this mama ni power, another strategy is required. This one is lesser lethal, but full of benefits.
  12. The Invincible

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kuijenga nchi hii

    Support yetu ataipata tu. Alimradi aoneshe nia njema na thabiti.
  13. The Invincible

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya hadhara sio ruksa, ya ndani ruksa

    🤣 🤣 Take it easy id1ot. Kuwa raisi hakumfanyi awe malaika. Atakosolewa kama wengine. Kama tuliweza kulikosoa lile jibwa la Kitulo na likazima, sembuse huyu.
Back
Top Bottom