Recent content by The introvert

  1. The introvert

    JamiiForums Tanzania Nitafanya kazi gani baada ya kumaliza kusoma?

    Umejaribu kuwauliza hao wanaopewa huo mshahara wanaishije?
  2. The introvert

    JamiiForums Tanzania Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

    Mjomba anasepa zake na kijiji 😂🙌. Nashangaa zaidi kuona watu kama hao eti na JamiiForum wapo na wanajiamini kabisa kuongea na kuaminishana pumba zao
  3. The introvert

    JamiiForums Tanzania Uwezekano ni mkubwa hii nafasi ya Makamu wa Rais! Ikahusu hawa watu 3 pekee

    Amka wewe utajikojolea kumekucha
  4. The introvert

    JamiiForums Tanzania Maria Surungi: Deo Ndejembi ni Mzanzibari, Muislamu, pia ana uraia wa Uingereza

    Inashangaza sana mkuu ,binafsi nikiona mtu anashadadia haya kwanza namvua vyeo kabisa . These shows them how most of them are brainwashed🙌
  5. The introvert

    JamiiForums Tanzania Deo Ndejembi kuwa Makamu wa Rais

    Michezo gan tena
  6. The introvert

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamuunge mkono Ndejembi kuwa makamu wa Rais

    Haikuwa na haja ya kupaka mafuta kiasi chote hiki ili mrija upite kwa maana aliyemteua ni mteule na yeye(huyu) ndiye mteauliwa. Nadhani umenielewa
  7. The introvert

    JamiiForums Tanzania Deo Ndejembi kuwa Makamu wa Rais

    One in a million ,Only target iliyonasa imetoka kwako kongole bwana deo
  8. The introvert

    JamiiForums Tanzania Deo Ndejembi kuwa Makamu wa Rais

    I wonder 😂😁😁
  9. The introvert

    JamiiForums Tanzania Haya aliyeteuliwa leo kuwa Makamu wa Rais Deo Ndejembi ni Mkatoliki au siyo Mkatoliki?

    Acha ujinga ,nimekuwekea picha aliyopost aliyekuwa mtumishi mwenzie kanisani na serikalini inayoonesha aliyoyasema kwenye post niliyonukuu . Labda nikuulize wewe ni mwanaCCM?
  10. The introvert

    JamiiForums Tanzania Haya aliyeteuliwa leo kuwa Makamu wa Rais Deo Ndejembi ni Mkatoliki au siyo Mkatoliki?

    Nanukuu kutoka latika post ya rafiki yake Antony Mavunde ya July "Miaka 34 iliyopita ndio nilikutana na ndugu yangu Deo Ndejembi tukiwa wote watumishi wa kanisa(𝘼𝙡𝙩𝙖𝙧 𝘽𝙤𝙮𝙨) kwenye Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Dodoma. Kuanzia wakati huo tumekuwa pamoja kwenye kanisa kama watumishi...
  11. The introvert

  12. The introvert

    JamiiForums Tanzania Haya aliyeteuliwa leo kuwa Makamu wa Rais Deo Ndejembi ni Mkatoliki au siyo Mkatoliki?

    Nanukuu kutoka latika post ya rafiki yake Antony Mavunde ya July "Miaka 34 iliyopita ndio nilikutana na ndugu yangu Deo Ndejembi tukiwa wote watumishi wa kanisa(𝘼𝙡𝙩𝙖𝙧 𝘽𝙤𝙮𝙨) kwenye Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Dodoma. Kuanzia wakati huo tumekuwa pamoja kwenye kanisa kama...
  13. The introvert

    JamiiForums Tanzania Haya aliyeteuliwa leo kuwa Makamu wa Rais Deo Ndejembi ni Mkatoliki au siyo Mkatoliki?

    Anatumia mapunye huyo 😂 au aende kwenye Bunge linaloitwa la wawakilishi akatulee mkristo yoyote sio lazima awe mkatoliki hata mmoja 😂😂🙌
Back
Top Bottom