Kabisa mkuu ,bora pacome mgonjwa kuliko wachezaji wengine watanoYanga tusilogwe tukamuacha Pacome, hata kama ana madhaifu yake ni ngumu kukipata kipaji kama kile ndani ya Afrika, alindwe kwa wivu mkubwa!
Yanga mpk Sasa imebakiwa na wachezaji 14 tu, wanaomaliza ligi na wenye faida na timuYanga tusilogwe tukamuacha Pacome, hata kama ana madhaifu yake ni ngumu kukipata kipaji kama kile ndani ya Afrika, alindwe kwa wivu mkubwa!
Wataje Kwa majinaYanga mpk Sasa imebakiwa na wachezaji 14 tu, wanaomaliza ligi na wenye faida na timu
Kikosi Cha kwanza Cha Jana wale 11, ongeza na zile sub , za mudhathiri,Boka na Edmund,Wataje Kwa majina
Pale waachaneKikosi Cha kwanza Cha Jana wale 11, ongeza na zile sub , za mudhathiri,Boka na Edmund,
Wengine wanakaa benchi kutimya idadi tu
Max abakiPale waachane
1. Buba
2. Boka
3. Max
4. Assink
5. Kouma
6.Dube
7. Depu
8. Damaro
Wa kimatiafa abaki
1. Diarra
2. Yao.
3. Duke ( huyu nae wa kawaida)
4. Pacome
Hamna mchezaji paleMax abaki
Max na dube sio wa kuachwa,max msimu huu ametumika sana,sababu hakuna mbadala wake kwenye benchi ndio maana unamuona kama kachoka,match zote za msimu huu,caf,fa na ligi max match ambazo hajacheza azifiki 3Pale waachane
1. Buba
2. Boka
3. Max
4. Assink
5. Kouma
6.Dube
7. Depu
8. Damaro
Wa kimatiafa abaki
1. Diarra
2. Yao.
3. Duke ( huyu nae wa kawaida)
4. Pacome
Ukawaida wake huwezi kuupata kirahisiHamna mchezaji pale
Ni wa kawaida mno
Umesema.vyema mkuu! Pacome siyo wa kufananishwa na yale mavi mavi. Anajua sana kuamu mechi.Yanga tusilogwe tukamuacha Pacome, hata kama ana madhaifu yake ni ngumu kukipata kipaji kama kile ndani ya Afrika, alindwe kwa wivu mkubwa!
Edmund ile takataka! Msimu uishe arudi kwao!Kikosi Cha kwanza Cha Jana wale 11, ongeza na zile sub , za mudhathiri,Boka na Edmund,
Wengine wanakaa benchi kutimiza idadi tu
Maxi ni mcheza wa kawaida.Ukawaida wake huwezi kuupata kirahisi
Ni kweli wa kawaida,ila aina ya mchezaji kama yeye na uchezaji wake ,anafaa kwa YangaMaxi ni mcheza wa kawaida.
Huko kimataifa hawezi battle match nguvu