Recent content by the igogoro

  1. the igogoro

    Hili tatizo la kutokujua kupika, huko mbele linaweza kunigharimu!

    Mie naungana na bhututu hapo...uwe tu mpishi wake..kwa kweli...manake kama unaona hapiki kama wew..basi pika tu..wala haina shida
  2. the igogoro

    TANZIA: Msanii wa Siri za Familia Mr. Benson Afariki Dunia

    [emoji15] [emoji15] hhhapana..siamini
  3. the igogoro

    Je unaweza kufa 2016 na kuzikwa 2015?

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kaaaaz kwelikwelih!
  4. the igogoro

    Kupatwa kwa Jua: Sayansi imethibitisha Mungu hayupo

    Nishida duniani hapa alafu mijitu isiyoamini mungu yupo...ndo huwa inaaminigi kweli ushirikina hiyo
  5. the igogoro

    Mwacheni Mh Rais afanye kazi

    Na ukimtetea mtu inaonesha ukoupande wake[emoji3] [emoji3] [emoji3]
  6. the igogoro

    Mwacheni Mh Rais afanye kazi

    Huyu jamaa ndio yule aliyeandika hapo kuwa hanachama au?......sasa mbona anashobokea haya mambo....karogwa nin[emoji15] [emoji15]
  7. the igogoro

    Wanawake na roho mbaya

    [emoji6] kauli yako mzuri....yawezekana mamamkwe naye alikuwa na roho pana...coz umesema wanawake wanaroho ngumu.....ila unapohukumu angalia coz hatawew ulishushwa na mwanamke pia..je na yey anaroho ngumu?
  8. the igogoro

    Nyoka wa ajabu

    Jamani mkuu..wew si wew tu..yaniwew niwew tu..ukijionanyoka sawa binadam sawa niwew huyo....sasamaswala kuuliza wew ninan hayo wakati unajiona upoje....sio vizur...au unataka uwe yule[emoji52]
  9. the igogoro

    Wakati watoto wetu wanakaa chini hamkuonesha ushirikiano sasa mnatuhitaji kwenye UKUTA

    Na kama madawati minaona wananchi wenyewe ndo wanashurutishwa kutoa....hau we ujaliona hili..tafuta utaliona
  10. the igogoro

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Mmh!hapo pa kumwacha aendelee hapo itakuwa miujiza[emoji6] [emoji6]
  11. the igogoro

    Mkuu wa Mkoa Dar Radioni tena leo saa nne

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji87]
  12. the igogoro

    Kuacha utani wanawake warefu ni wazuri sana

    [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Back
Top Bottom