Recent content by The Hidden

  1. The Hidden

    Ushauri: Amemuambia akichepuka atamuua

    Hahah aya bana kwaiyo ushakuwaga sugu kwa kuchepuka!
  2. The Hidden

    Ushauri: Amemuambia akichepuka atamuua

    Nimemshauri amsome kwa vitendo na siyo maneno, ahsanteni kwa mawazo yenu
  3. The Hidden

    Ushauri: Amemuambia akichepuka atamuua

    Wewe uliwahi kuambiwa hivyo Mkuu?
  4. The Hidden

    Ushauri: Amemuambia akichepuka atamuua

    Kwahiyo kama wewe ungemshauri nini Mkuu?
  5. The Hidden

    Ushauri: Amemuambia akichepuka atamuua

    Sio mchezo kaka, mimi nilikuwa bubu ghafla nikashikwa kigugumizi coz sipendagi kukurupuka katika kushauri
  6. The Hidden

    Ushauri: Amemuambia akichepuka atamuua

    Habari zenu wana JF? Kwa sasa mimi naweza sema nina ufahamu mpana sana juu ya ishu ya mahusiano kwani nilikaa katika uchumba kwa miaka kadhaa na tangu nioe sasa ni karibu miaka miwili lakini kwa hili la huyu ndugu yangu nimeshindwa kulielewa japokuwa ananitegemea mara nyingi sana katika ushauri...
  7. The Hidden

    Walimu wanavyohamishwa sekondari kwenda msingi ni uonevu na ukiukwaji haki kila Mtanzania anapaswa kuulani

    Mwalimu wa ngazi ya cheti(certificate) anauwezo wa kufundisha ngazi yoyote ya elimu ya msingi Mwalimu wa ngazi ya astashahada(diploma) anauwezo wa kufundisha ngazi yoyote ya elimu kuanzia msingi hadi o-level Mwalimu ngazi ya stashahada(degree) anauwezo wa kufundisha ngazi yoyote ya elimu...
  8. The Hidden

    Utafiti: Uwezekano(Probability) wa mtu kuoa au kuolewa

    Ukumbuke unapomzungumzia Yesu humzungumzii mwanadamu! Lakini wewe ni mwanadamu. Kuhusu hao wajinga uliowataja Nicola,Newton,Leonard & Einstein jiulize ktk maisha yao mbali na hayo waliyoyafanya kwa dunia, wao na familia zao wamefaidikaje? Je kuna raha gani waliyoipata ktk maisha yao ikiwa...
  9. The Hidden

    Mwanaume kuzirazira sababu yake nini?

    (A)Anazirazira: 1.Ashakusoma unamtetemekea sana, akinuna tu unabembeleza mpaka anajisikia raha.Hakuna asiyependa raha, lazima anune kila siku. 2.Anatafuta upenyo wa kukuacha. Siku akizira usipobembeleza ndo hutomuona tena. Kuhakikisha hili, ebu siku moja akizira nawewe chuna umuone kama...
  10. The Hidden

    Utafiti: Uwezekano(Probability) wa mtu kuoa au kuolewa

    Maprofesa wenyewe pia wanajua umuhimu wa ndoa, wameolewa Ref. Prof Ndalichako. So kusoma kukikutenga na uhalisia wa maisha, ukaikosa faraja na support ya Mme/Mke basi wewe ni mjinga kuliko wote na elimu itakuwa ndiyo mchawi wako
  11. The Hidden

    Uliolewa/ulioa ukiwa na miaka mingapi?

    Kilichoshababisha ni: 1.tamaa(Mali na ngono) 2.kiburi(kila mmoja ni kichwa) Unabisha?
  12. The Hidden

    Uliolewa/ulioa ukiwa na miaka mingapi?

    Usioe tena, ndoa huiwezi
Back
Top Bottom