Kwanini anapata wasiwasi na anabaki njia panda, kwani ni lazima achepuke ili aishi? Kama bado hajaamua kuoa anataka mambo mengine ya nini ajipe taabu? Lakini kama ameamua au anapanga ndoa na huyo aliyenaye anamuona ndiye mtu sahihi ya nini apate wasiwasi. Akiona kama akiwa na huyo bibie atalazimika kuchepuka basi mshauri kuwa bado hajapata mtu sahihi aendelee kutafuta hadi pale atakaposikia kitisho kama hicho asishtuke.Habari zenu wana JF? Kwa sasa mimi naweza sema nina ufahamu mpana sana juu ya nshu ya mahusiano kwani nilikaa ktk uchumba kwa miaka kadhaa na tangu nioe sasa ni karibu miaka miwili lakini kwa hili la huyu ndugu yangu nimeshindwa kulielewa japokuwa ananitegemea mara nyingi sana ktk ushauri so imebidi nikwepe kuzungumza naye juu ya hili nipate mawazo yenu kwanza:
Rafiki yangu huyu ambaye sasa ni kama ndugu, amekuwa na mahusiano na binti mmoja ambaye mpaka sasa ni miaka 2 na nusu(kwa maelezo yake) wakiwa kama wachumba.....binti huyu ni mvumilivu ktk dhiki ya kukosa pesa na japokuwa kuna wakati wanatofautiana mara nyingi alikuwa akinishirikisha nikamshauri na wakarejeana. Leo hii ameniijia anasema ni mara ya pili sasa amekuwa akimsikia mpenzi wake huyo(mke) ambaye anaoneshaga kuwa ni mtu mwenye wivu sana, akimwambia huyu ndugu kuwa kama atamuoa na ikatokea amemsaliti yaani kuchepuka basi atamuua abaki tu na nyumba, jamaa anasema kwa mara ya kwanza haikumuingia akilini sababu alidhani ni utani tu ila leo hii wakiwa wanaangalia movie iliyoonesha mshikaji mchepukaji alirudia tena kumwambia hivyo, hii kauli sasa imemchanganya na anajihoji amuoe au amuache huyu mwanadada.
Nimejifikiria sana kwa upande wangu nimeshindwa kumwambia jamaa nini aamue ikiwa jamaa anaonesha kumhitaji huyu mwanamke ila anahofu kauli hizo na mwanadada pia huwa anaonesha anampenda sana jamaa!
Nimejiuliza kwa upande wangu hivi inawezekana mwenye dhamira ya kufanya hivyo akajinadi kabisa? Au alitumia kauli hizo kumtishia tu jamaa asijechepuka? Na pia hayo mawazo anayatoa wapi kama si kwamba labda alimaanisha?
Karibuni wadau mnipe pa kuanzia coz nimemuahidi jamaa kuongea naye juu ya hili hapo kesho
OkSema wewe hapo mkeo kakupiga biti siyo rafiki yako.....
Mkeo anachepuka ndiyo maana anakuonya usimgundue haraka....![]()
![]()
Hapo nakula kwanza halafu namwambia sijajiandaa kufa mapema hivyo akatafute saizi yake ukizingatia unaweza teleza kwa kasi na shetani wa Gudume akakupitia ukaishia kuuliwa bureKwahiyo kama wewe ungemshauri nini Mkuu?

25 yrsjamaa yako ana umri gani?
Hahah aya bana kwaiyo ushakuwaga sugu kwa kuchepuka!Mnachukulia serious ishu za kawaida hzo tushaambiwa sana na tukachepuka sana kila mwanamke adui yake nmba moja ni mchepuko hzo kauli ni normal kuua sio rahis kama mnavyodhani
Hatujui upande wa pili ukoje katika shida aiongeleayo huyo binti.Jibu zuri ni KUTOCHEPUKA TU.Huyo binti ni gas kabisa yaani anaongea upupu kama huo akidhani atamtisha,ilitosha kumwambia sipendi ucheat sio mpaka anaahidi kukuua kabisa.
Yaani hawa wadudu sijui vipi hapo kama ndo mtihani kashafeli,mwanamke hana hats chembe ya moyo wa huruma. Unajua kuna maneno hutegemei yatoke kwa mtu unayetarajia uishi nae milele hata kama utani hapana aisee
Yani hii ni experience ya ngazi ya mkurugenzi aiseeWanawake wengi wa kujilinda mkuu ,nahapo siku akichepuka .
Maajabu nikwamba ,mwanamke ataishia kumpiga vimakofi kifuani ,baadae atajikimbiza chumbani anaanza kulia huku amekumbatia mto akingoja uje umguse mabegani umwambie " Am sorry baby , yaani hata sikufanya kitu maana mashine haikusimama kabisa"
Hapo atakuangalia moyoni anacheka ,mdomoni anakuambia "kwendraaaaa zako weeeeewe kweli usisimamishe?" ukikazia hapo hapo ,anakuambia yameisha .
Mbona hakuna shida hapo? Kwangu mm sioni tatizo 100% binti yupo sahihi kbsa kwasbb wahenga walisema kila abiria achunge mzigo wake.Wewe uliwahi kuambiwa hivyo Mkuu?