Recent content by the happiest man

  1. the happiest man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kujitathimini naona umefika wakati muafaka wa kutafuta mchumba

    Imefika wakati baada ya kujitathimini na kuona nnatosha kuwa na mwenzi wa maisha nimeamua nije kwa wanajamvi hususani wanawake na niko very serious na hili jambo nimeona nije niliwasilishe kama linawezekana. Sifa zazangu; 1. Elimu yangu degree ya uhasibu(BCOM IN ACCOUNTING) 2015/2016 ndio...
  2. the happiest man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ufumbuzi wa hili tatizo

    asante mkuu
  3. the happiest man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ufumbuzi wa hili tatizo

    Habari za muda huu waungwana wa jf Niende straight kwenye mada...mimi ni kijana nnampenzi wangu(ke) ambaye nnampenda sana lakini tatizo anatoa harufu mbaya ukeni, kitu ambacho kinanifanya nikose raha natumai na yeye anakosa raha pia....tumeenda hospital lakini tatizo bado lipo....ameniomba nije...
  4. the happiest man

    JamiiForums Tanzania Kama umedisco unaweza kurudia mwaka

    simply ukidisco unaweza kuanza mwaka wa kwanza yaani unaaply upya hata kama umedisco ukiwa mwaka wa tatu huu ni utaratibu mpya.....lakini utaratibu wa zamani ukidisco unasubiri wale uliokuwa nao wagraduate ndio uapply I BLNG 2 JESUS CHRST
  5. the happiest man

    JamiiForums Tanzania How can I change my JamiiForums ID?

    huwezi I BLNG 2 JESUS CHRST
  6. the happiest man

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    ukarabati ni msimu wa 2020/21 na uwanja wa home utakuwa Wembley
  7. the happiest man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke alikua chanzo cha mimi kuanza kujichua

    hivi ni kitu kinacho wezekana na joto hili la dsm?????
  8. the happiest man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke alikua chanzo cha mimi kuanza kujichua

    ndo maana nimekuja kuomba ushauri mkuu
  9. the happiest man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke alikua chanzo cha mimi kuanza kujichua

    elewa bosi nilianza nikiwa mwaka wa tatu chuo so ni miaka miwili toka nimeanza
  10. the happiest man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke alikua chanzo cha mimi kuanza kujichua

    ni muumini na nnashiriki kanisa kila nnapokuwa nnamuda..but bado ni shida
  11. the happiest man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke alikua chanzo cha mimi kuanza kujichua

    asante
  12. the happiest man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke alikua chanzo cha mimi kuanza kujichua

    najikeep busy na kazi sometime nafanya overtime hadi saa mbili narudi nimechoka ila kitendo cha kuingia tu kuoga ndio tatizo
  13. the happiest man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke alikua chanzo cha mimi kuanza kujichua

    Poleni na kazi wakuu ni story ndefu kidogo nina miaka 27, miaka miwili iliyopita nikiwa chuo mwaka wa tatu kuna mwanamke nilimpata naye alikuwa mwanafunzi pia mimi nilikuwa nimepanga maeneo fulani karibia na chuo huku yeye akiwa anakaa hostel niliahidi moyo wangu kuwa sitamsaliti kwa kutembea na...
  14. the happiest man

    JamiiForums Tanzania Maamuzi magumu: Nataka kwenda masomoni...

    hilo nalo swali muhimu ngoja muhusika arud atupe majibu Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  15. the happiest man

    JamiiForums Tanzania Je? Waliomaliza stashahada wanapatiwa mkopo

    mdogo wangu jaribu bahati yako unaweza kupata Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom