Kama umedisco unaweza kurudia mwaka

Kama umedisco unaweza kurudia mwaka

Kijana wa shost wangu amedisco mwaka wa pili hana credits za kuendelea mwaka wa tatu anaweza kurudia mwaka wa pili?
Arudie mwaka?
Anaanza UPYA mwaka wa 1

May Allah bless Me and You
 
Impossible,

May Allah bless Me and You
Inawezekana kuna yaliyomsinu kichwani lakini walimu wake wanataka kumsaidia kulingana na matokeo ya mwaka wa kwanza
 
Shukran Mkuu
Ilimtokea ndugu yangu kisha rafiki yangu,kilichofanyika walianza upya kwa vyuo vilevile na kozi zilezile.
Mtu mwingine alidisco MUHAS akaenda UDSM akaanza upya,mmoja alidisco UDSM akaenda SUA as first year,na mmoja amedisco now amerud kazini (in service).
Huyo mtoto wa shost aombe tu tena

May Allah bless Me and You
 
Impossible,

May Allah bless Me and You
Hata Mimi Nakataa Kabisa hawezi akafaulu Mwaka wa Kwanza kwa Juhudi yake halafu mwaka wa Pili Akafeli Masomo matano...... Never Kwa kifupi huyo Mdogo wa Shost wako ni Kilaza Ukweli usemwe na siku zote Watu hawajui Kucheza na Scholarship
 
Inawezekana kuna yaliyomsinu kichwani lakini ealimuvwake wanataka kumsaidia kulingana na matokeo ya mwaka wa kwanza
Hawez kurudia ila anapaswa kuanza UPYA

May Allah bless Me and You
 
Inawezekana kuna yaliyomsinu kichwani lakini ealimuvwake wanataka kumsaidia kulingana na matokeo ya mwaka wa kwanza
Hivi Vyuo Vya Siku Hizi vinaviolate Alumin Yake..... Hakuna Favor kwenye Masomo ya Chuo UDSM hawana huo Ujinga
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hivi Vyuo Vya Siku Hizi vinaviolate Alumin Yake..... Hakuna Favor kwenye Masomo ya Chuo UDSM hawana huo Ujinga
Ndo naskia hapa
Huenda hayo mambo YAPO
Eti sky Eclat dogo anasoma wapi?

May Allah bless Me and You
 
Mwaka wa kwanza alifaulu vizuri sana ndiyo anataka kuomba kurudia kwa credits za mwaka wa kwanza
simply ukidisco unaweza kuanza mwaka wa kwanza yaani unaaply upya hata kama umedisco ukiwa mwaka wa tatu huu ni utaratibu mpya.....lakini utaratibu wa zamani ukidisco unasubiri wale uliokuwa nao wagraduate ndio uapply

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Hivi Vyuo Vya Siku Hizi vinaviolate Alumin Yake..... Hakuna Favor kwenye Masomo ya Chuo UDSM hawana huo Ujinga
Ha yuko Tanzania yuko Mauritius ingawa ana full scholarship kutoka bongo
 
simply ukidisco unaweza kuanza mwaka wa kwanza yaani unaaply upya hata kama umedisco ukiwa mwaka wa tatu huu ni utaratibu mpya.....lakini utaratibu wa zamani ukidisco unasubiri wale uliokuwa nao wagraduate ndio uapply

I BLNG 2 JESUS CHRST
Ila siyo kwa Course ile ile au Wanaruhus Pia kuapply kwa course ile ile uliyodisco.. Repeaters Wanaruhusiwa?
 
Hata Mimi Nakataa Kabisa hawezi akafaulu Mwaka wa Kwanza kwa Juhudi yake halafu mwaka wa Pili Akafeli Masomo matano...... Never Kwa kifupi huyo Mdogo wa Shost wako ni Kilaza Ukweli usemwe na siku zote Watu hawajui Kucheza na Scholarship

Kwa maisha ya chuo,hilo jambo ni rahisi sana kutokea.
 
Nitawaletea mrejesho wa decision ilivyokuwa anawaona J3
 
Ha yuko Tanzania yuko Mauritius ingawa ana full scholarship kutoka bongo
Sasa Mkuu let us be fair. Kweli unaweza kuuliza kitu kwa watu wanaoshare experience ya Vyuo Vyetu wakati huyo unayemuulizia Yupo Mauritius????

Sisi tunatoa experience ya Vyuo vyetu, kumbe anayehitaji kueleweshwa yupo Nje Duu kweli JF ya siku hzi imepoteza U Great Thinker.. Duuu
 
Back
Top Bottom