Mpendwa mwanaJF Love is not blind but the people who are in love are the ones who are blind to each other.
Kila mtu ana criteria zake katika kutafuta mke au mume ambazo akiona mtu amezitimiza basi hasiti kutangaza nia, katika mapenzi parents comes second after the one you love except kwa reasons...
Samahani mwana JF The great thinker ulikua na maana gani kupost hii
Unatupa taarifa.
Wasiooa waoe Tanga
Wenye ndoa watoke nje wawe na nyumba ndogo au waache wake zao ambao si waTanga?
Wanawake ambo co waTanga waende kupata ujuzi?
Me nadhani kila mtu anachoice yake na mke au demu wakuzugia...
good stuff
ila wapo wanaume wanaofanyiwa yooooote hayo but hawaaachi kuhangaika jamani.
Me nakazia kwenye kusali tu, ukishaumbwa mwanamke huna ujanja wakutomwombea mmeo maana nia agizo la Mungu
Guys, its hard to understand men sometimes.
Hali hii ina muda gani? mana kutokana na thread yako naona kama ni siku moja tu sasa utaweza kweli kama ulivyoapa kwa shida na raha hadi kifo kitutenganishe?
Kitu kingine nahisi kama unafichaa kitu maana hadi anune pamoja na ujauzito ghafla kiasi hicho...
k sitakunyima ukiona unanyimwa ujue ashajua kama unapengine unapata ili akuonyeshe kwamba ni upuuzi anaamua kuibana yake,utumie unayoitaka coz yake siumeona haitoshi
me nimeolewa.
Kwanza kabisa housegal ni kama binti katika familia anayofanya kazi.kiukweli jiulizei aliotoka hadi akaingia ndani kwako amefuata nini? kama mama siwezi kumruhusu binti yangu atembee na wanaume eti kumaliza ashki,JIULIZE angekuwa binti yako yakumzaa ungekubali mtu anaemlea amfanyie...
N akama ni mwanamke basi hajaolewa na kama kaolewa hajawahi kubeba mbimba na kama bado yupo ndoani hiyo ndoa aijuae ni mola. Au ameshatendwa hadi kaamua kuwa kama alivyo na above inawezekana yeye ni nyumba ndogo ya mtu.
Samahani kwakuharibu thread ya mtu ila nimejiskia kuongea kuhusu Jestina
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.