Mke wa mtu ukiamua kutembea nje ya ndoa.....do's and don'ts

Mkuu kwa hii post, kuna watu tayari washaanza mafunzo kwa vitendo.
Imetuliaaaa...
Naamin wake za watu ambao sio waaminifu wamesevu hii page kwa ajili ya kuikariri kichwani vizuri izo RULEs.
 
Kwa kuongezea.....

  • Hakikisha ni "hit and run"
  • Hakikisha possibility ya kukutana na hubby ni minimal
  • Hakikisha kua at first glance amzidi mumeo...
  • Kama ni kwa ajili ya Mpunga... Then hakuna wasi wasi hapa....
  • Kama ndo umevutiwa ji-commit on the condition kua mko mbali kuonana mpaka iwa cost... Hio ina monitor nidhamu.


Hii kitu sijui ilinipita wapi sweetie afu kwa makusudi hunaniprintia wakati ya Bishanga ya Jana umeniletea.......
 
nimeolewa jamani sijaagizwa hivi tena imani yangu yanikataza mmmhhh.
Yani mme wangu popote ulipo we nenda utakapo me utanikuta ila kidumu no plz
 
mkuu hayo ndo mambo(salute),
kwa mtindo huu ngoma droo kila atakae zdiwa namatamanio yakuisaliti ndoa either she/he atakuwa makn na huo usalit wake.
 
Mh! ya leo kali. Kuna watu waliwaka wakati The boss anatoa angalizo, kumbe na wanawake yanawezekana? wacha nikakumbatie mdori wangu tulale ya kesho hatuyajui.
 
mie waliwahi kugongana kwenye chumba changu cha kuDEMUlia halafu wote hao ni wake za watu na wanajuana basi hakuna aliyethubutu kurusha ngumi,sasa hivi ni marafiki kupita maelezo. Na log off

Mweeeeeeeee!
 
Mh! ya leo kali. Kuna watu waliwaka wakati The boss anatoa angalizo, kumbe na wanawake yanawezekana? wacha nikakumbatie mdori wangu tulale ya kesho hatuyajui.

angalia maana umeme wa siku hizi hauna ratiba nzuri, ukakukatiza raha bureeeeeee!
 
hapo no 10 ndio mtihani ulipoo, wewe uhongwe bangalaw alafu ufiche hahaha ukifa ghafla litakuwa mali ya nani? mind you hata wanao hawatapata kitu
 
Kila siku kushauliana mambo ya kishetani mpaka lini jamani? Badirikeni - anzeni mwaka ujao kwa mabadiliko ya kifikra sio kila siku kushauliana mambo ya kugonoka.
 
Safi sana kuwa na msimamo huo huo.
Athari za kutoka nje ya ndoa ziko tofauti kati ya mke na mume.wanawake wanathirika zaidi
 
Back
Top Bottom