Recent content by The great masai

  1. The great masai

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Rais kasaini sheria mpya ya siasa na Tanzania inaenda kuwa Rwanda rasmi, ndio maana Polepole anasema vyama vingi havina maana CCM kinatosha

    Ivi kwa mantiki ya sheria hii kupiga kura kunaweza kuja mkombozi au kuleta mapinduzi kwa Taifa hili? Kumpa msajili wa vyama vya siasa kuingilia na kupanga nan agombee ni sawa na kusema tuwe na mfumo wa chama kimoja
  2. The great masai

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tusipoyasema haya juu ya kifo cha Ruge Mutahaba, mawe yatasema

    Well said... R.I.P Ruge the fighter Sent using Jamii Forums mobile app
  3. The great masai

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yamtaka Spika wa Bunge Job Ndugai kufika Mahakamani leo

    Kunauwezekano wowote kweli wa huu wito kuitikiwa??
  4. The great masai

    JamiiForums Tanzania Can anyone guess who's the next Tanzania's President?

    Makame mbarawa is the next
  5. The great masai

    JamiiForums Tanzania Some qualities of a good leader

    Great! are those leaders with such characteristics found in Africa?
  6. The great masai

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kurudi bongo

    Ndugu hii ni bongo ya 2018 achana na iyo picha uliyo nayo 1992
  7. The great masai

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mlivuka vipi haya maumivu makali ya kuachwa?

    Pole sana mdau... ila suala unalopitia ni chanagamoto kubwa sana lakin ukiweza kuwa na maamuzi na msimamo wa kifikra ni suala dogo sana... moja ya vitu vya kufanya jitahid kufanya kazi juhudi zote na usiruhusu kuwa na alone muda mrefu peke ako.. naamin unamarafiki na shughuli nyingine zinazo...
  8. The great masai

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Rais wa Jamhuri ana mamlaka ya kuwaagiza mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi (Zanzibar)

    Kama wa zanzibar wana wimbo wao wa taifa.. wana bendera yao ya taifa... nn maana ya kusema zanzibar sio nchi??
  9. The great masai

    JamiiForums Tanzania Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    poleni sana polic tanzania. mungu awatie nguv
  10. The great masai

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba - Lupela

    Binafsi sioni sababu za kuleta uteam katk hili.. N suala la kiba n diamond tujue hawa ni watu wa wili tofauti hata iweje kiba stl ata kuwa kiba n diamond the same... Cha msingi tusapot mzik mzuri na tuache izo mambo za uteam
  11. The great masai

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri lapewa Siku 7 Kukanusha walichochapisha kuhusu familia ya Kikwete

    Tukizungumzia waandishi wa habari ni watu ambao sikuzote wanaongea uhalisia... Sababu wao hawafanyi tafiti ila wanaandika kilichopo....
  12. The great masai

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri lapewa Siku 7 Kukanusha walichochapisha kuhusu familia ya Kikwete

    Uhuru wa habari unatoka wap kiongoz apo??
Back
Top Bottom