jamani naomba tuzingatie kwamba majina yanafanana sana Zanzibar, huyu mwenye masterssio huyo mgombea mwenza wa Dr Slaa, sometimes tukubali ukweli tu kwamba katika mgombea mwenza Chadema wamechemka, maana hata wao wenyewe, kama Dr Slaa anakubali hilo, sasa wewe unayetaka kubisha ndio kusema...