Elections 2010 Balaa ya hongo Chadema

Ila nimefurahi kusikia kitu kimoja -- kwama Chadema ndiyo waliomkabidhi mgombea wao kwa Takukuru. Hivi CCM wammewakabidhi kwa Takukuru wagombea wao wangapi walitoa rushwa? Big up Chadema. You have shown you can really fight ufisadi.

Excellent Observation!! Ni hivi tunavyotakiwa kupambana na rushwa, sio kukaa kimya
 
sijui sijaelewa??

Ina maana huyu jamaa amehongwa na kiongozi wa chadema asigombee??

ni Mkono ndiye aliyetoa rushwa ya euro 1000.
Sasa viongozi wa CCM jimboni hapo ndio wamekasirika kwa kuwa kutakuwa hakuna fungu la kampeni kutoka kwa mkono ,so wakawatonya chadema then chadema wapeleka Takukuru baada ya kuwa na ushahidi na muhusika kukiri
 
Hivi ninyi mlifikiri Kachenji ana ubavu wa kumshinda Mkono jimboni Musoma Vijijini, kwa lipi alilonalo au analoweza kulifanya kumshinda Mkono???? Mkono ampe rushwa ???? Ama kweli siasa ni mchezo mchafu. Huu mchezo umechezwa na CHADEMA. Ukitaka zaidi nitafute. Na yule anayesema Mkono kaifilisi TIRDO hamjui vizuri Mkono na uwezo wake. Huna hoja bwana, nyamaza.
 
kama kweli mgombea wa chadema kapokea rushwa basi watanzania hatuna chetu! kila mtu ajitafutie maendeleo yake tu yaishe, hawa wanasiasa hawana nia njema na sisi, wote!
 
Back
Top Bottom