Recent content by the glassroof

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba ya kuanzia maisha au ya kulindia kiwanja

    Mnapatikana wapi nyie?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Shule ipi ya msingi inafanya vizuri katika matumizi ya lugha ya kiingereza Kwa wanafunzi wake maeneo ya Mbezi beach au Goba

    Mpeleke SunRise iko Mikocheni, hutojuta. Watoto wanaongea English mpaka kero.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyotibika Bells Palsy/Facial Paralysis (Uso kupooza upande mmoja)

    Hongera kwa kushare. Zaidi tumshukuru Mungu kwa uponyaji huo.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa mitandao ya simu (Vodacom, yas, airtel, halotel, etc)

    To me, this is big idea and solution to the needy
  5. T

    JamiiForums Tanzania STORI YANGU; Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na Mama yake!

    (c n p) means Copy and Paste? Ahsante kwa kushare. Elimu ni Silaha kwa mwanamke wa kiafrika. Acha wabaki na umaamuma wao Tu. Wazee wetu hawakuwa wakinga aisee.
  6. T

    JamiiForums Tanzania STORI FUPI: Jinsi ya kutafuta furaha yako

    Hadithi iliyojaa mafunzo. Barikiwa sana
  7. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta majembe yaliyokatika shingo kanda ya ziwa

    Nitanunua yote 100 mapya kabisa, wew peleka kwa fundi wakukatie vichwa. Mi unipe changu, mambo yasiwe mengi maisha ndio haya haya
  8. T

    JamiiForums Tanzania Sitosahau wema niliofanyiwa

    Mimi pia nimesoma msingi mpaka university hadi napata kazi nikiwa kwenye mikono ya watu mbalimbali na si ndg wa damu. Wapo nilioweza lipa fadhila kidogo maana hata nitoe nini siwezi lipa wema wao hata robo. Wengine hata sijui walipo kwa sasa ila nawaombea kwa Mungu azidi kuwabariki kila...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Namba zilizotumwa za umeme (token) haziingizi umeme kwangu

    Wasiliana na huduma kwa wateja
  10. T

    JamiiForums Tanzania Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

    Nakubaliana wewe
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nauza godoro la QFL Dodoma 100k

    Au waliosoma Hisabati wanaita Kimo cha godoro.
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    Hahaha. Una kumbukumbu aisee
  13. T

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Ni story kali sana mkuu
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tuliotembea mikoa mingi tujuane

    Mikoa niliyotembelea mpaka sasa 1. Geita 2. Mwanza 3. Shinyanga 4. Simiyu 5.Tabora 6. Singida 7. Dodoma 8. Morogoro 9. Pwani 10. Dar es salaam 11. Zanzibar 12. Tanga 13. Kilimanjaro 14. Arusha 15. Manyara 16. Iringa 17. Njombe 18. Mbeya
Back
Top Bottom