Wew jamaa cjajua ni dini gani ila naona tu hapo visomo na mashehe.. sasa basi nakushauri tafuta huu mwamba wa uzima YESU KRISTO hakuna tatizo lililoshindikana hapo upate tu sehemu sahihi..kua na imani..hakuna jina lingine chini ya mbingu wala popote liwezalo kuokoa zaidi yake..
Nimepitia uzi wote na comment zote nimeinjoy kukutana na wenzangu japo hata kwa kushare interests..Na nawezaga nikapitia mada nikiona inamlengo wa mabishano napiga chini sikoment chochote..
Nilivyokua nakua sikujua kama kuna kitu cha introverts au extrovert na nahisi ni kwasababu ya uchache...
Mungu hua ni Mungu wa kanuni..,na hua anatembelea kwenye code za NENO lake so lazima tufate alicho sema kuhusu kuogopa vinyamkela majini wachawi,maisha ni dhahiri haujui Mungu may be unamskia tuu..,maana kwa kujijua mwanadamu ana uungu ndani yake ambao lazima uwe activated na kumjua Mungu na...
Ok bro nimeisoma iko vizur lakini kuna mambo kidogo ya kuzingatia...,,kuhusu dini zipo vizur sana ndo maana kuna uislam na ukristo..,ni mfano tuu kuna nyingine nyingi..ukristo kuna kristo mwenyew kama kichwa cha kanisa..,
Pia kuhusu namna Mungu ataakavyo wahukumu ambao hawajui chochote kuhusu...
Kuwa makini bro karika kupost kwako..,au soma maandiko ndo uposti mambo haya coz unashake imani za watu kumbuka Mungu alitujua tangu asili..,ili kuishi katika kusudi lake ambapo ukipita humo ndo mafanikio yanakuja na baraka zake..,nimesoma thread yako paragraph za mwanzo tu naona unataka...
Yea nikiamka nakula zangu mbili akili inakuwa sawa naelewa mwanaume cku nyingine kutafuta na kujituma.. binafsi sigara nimepiga chini muda mrefu sas na ni negativity iliyo na effect nying kiafya na resources ,time wastage,bad smell,
kuwa wazi kwanza unataka nini...??
pili hilo daraja litavunjika vip na haujaseama kama hilo lorry limeshabeba huo mzgo au la ?? kwa maelezo yako unaelezea lorry lenye uwezo huo ,,,,ilihali halina huo mzigo wa tani 50k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.