Huu ndio ukweli utakao kuweka huru usiyumbishwe na chochote hapa Duniani

Showio

JF-Expert Member
May 16, 2019
255
481
Kama ambavyo bahari haiwezi kufilisika maji, maana yenyewe ni maji. Kama ambavyo fukwe haziwezi kufilisika mchanga, maana zenyewe ni mchanga. Kama ambayo noti ya sh 10,000 haiwezi kuishiwa sh 10,000, maana yenyewe ndiyo sh 10,000. NDIVYO AMBAVYO MUNGU HAWEZI KUISHIWA UPENDO, maana YEYE MWENYEWE NI UPENDO. Si tu kwamba anaonyesha upendo. Si tu kwamba anatupa upendo. Si tu kwamba anatupenda. Bali yeye mwenyewe MUNGU ni PENDO. Hafilisiki kupenda, YEYE NI PENDO💪🏾

Showio😳😳 unasemaje?

Nasema hivi, Mungu hawezi kuacha kupenda kwa vile hafilisiki Pendo, yeye mwenyewe ni PENDO ( Waraka wa kwanza wa Yohana 4:8)

Anachukia dhambi, hachukii mtu!

Showio😳😳 Mbona unajichanganya?

Hapana, sijajichanganya. Kama ambavyo wewe unaweza kuchukia uchafu wa nguo lakini hutupi nguo, unaiosha. Kama ambavyo wewe unachukia giza ndani ya chumba lakini haimaanishi unachukia chumba. Ukiwasha taa giza likaondoka chumba kinabaki kizuri. Giza linazuia tu usione uzuri wa chumba si ndivyo?

Mungu hachukii mtu, anachukia dhambi iliyoko ndani ya mtu. Ndiyo maana anasamehe ili aendelee kuwa nawe! Mungu anakupenda. Yohana 3:16

Nikishatafakari hivyo, naona kila gumu limekuwa jepesi. Naamka na nguvu kuyakabili maisha!
 
Kama ambavyo bahari haiwezi kufilisika maji, maana yenyewe ni maji. Kama ambavyo fukwe haziwezi kufilisika mchanga, maana zenyewe ni mchanga. Kama ambayo noti ya sh 10,000 haiwezi kuishiwa sh 10,000, maana yenyewe ndiyo sh 10,000. NDIVYO AMBAVYO MUNGU HAWEZI KUISHIWA UPENDO, maana YEYE MWENYEWE NI UPENDO. Si tu kwamba anaonyesha upendo. Si tu kwamba anatupa upendo. Si tu kwamba anatupenda. Bali yeye mwenyewe MUNGU ni PENDO. Hafilisiki kupenda, YEYE NI PENDO

Showio unasemaje?

Showio Mbona unajichanganya?

Hakika Mungu ni upendo
 
Barikiwa mtumishi...
 
Thibitisha Mungu yupo, na kwamba habari za kuwepo kwake si hadithi tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom