KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,290
- Thread starter
- #21
Mfumo unaowekwa katika dini ni ule wa kutokuuliza ama kuhoji kile unachofundishwa ndicho hicho hicho zinawekwa kanuni na sheria ambazo ukiweza kuhoji ama kuuliza basi unaonekana unakwenda kinyume ama unaonekana ni muasi,Mfumo gani huo?
Lakini kumbe madhara yanakuwa ni makubwa zaidi tunashindwa kuelewa na kushindwa kutumia vyema kile Mungu ametupa
yaani yale maisha halisi ambayo mwanadamu aliumbiwa aweze kuyaishi yanakuwa hayapo tena tunakuwa hatuishi maisha yale bali tunaanza kuishi katika mfuko fake kama hivi tulivyo