Recent content by The Flower

  1. The Flower

    Unakuja kugundua kumbe Lara 1 wa Jf ndio demu wako mliyepanga kufunga ndoa

    Nampenda sana Lara 1. Ni one of girls ambao ni intelligent na anajitambua. natamani hata angekuwa binti yangu.
  2. The Flower

    Una miaka 30 hujaolewa? na bado, utaona moto

    Yaani siku hizi thread za mmu ni za kuumiza watu mioyo tu. sijui kumekuwaje humu....acheni hizo bwana. Ndoa ni mapenzi ya Mungu. Tuliozipata ni kwa neema tu, sio kwamba tulistahili sana. Hata siku moja tusidharau wasiokuwa nazo.
  3. The Flower

    William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

    ha ha ha haa.... duniani vichkesho haviishi..
  4. The Flower

    Angetumia njia gani kujiridhisha!

    mmh.. Mods nashauri kila thread mtu anayoweka awe analipia, itasaidia watu kuandika vitu vya maana.
  5. The Flower

    Pata gari ya ndoto zako kwa bei nafuu

    Natafuta spacio old model. Naweza kupata kwa bei gani?
  6. The Flower

    Hivi kwa nini vyombo vya habari tanzania bado viko nyuma kuripoti habari

    Watoa habari wako busy na mambo ya Zitto na chadema.
  7. The Flower

    Happy Birthday Dr. W. Slaa

    Happy birthday kamanda..
  8. The Flower

    Serikali yatishia kuongeza adhabu kwa Magazeti Yaliyofungiwa

    Kwa hiyo na page ya facebook ya Mwananchi nayo imefungiwa?
  9. The Flower

    Mademu wakali!!!

    unasoma kidato cha ngapi.?
  10. The Flower

    Nape Amponda Mbatia Kwa Kusahau Alizawadia Ubunge

    Kwa hiyo kumbe mtu akiteuliwa ndio awe anaunga mkono kila kitu....., majanga haya.
  11. The Flower

    Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

    sijakudhalilisha mkuu. mimi mwenyewe my huby ni engineer wa DIT. Ila huo ndio ukweli,just accept it.
  12. The Flower

    Nimefanikiwa kupunguza uzito, zifahamu mbinu zangu na changamoto zake!

    Mkuu Bujibuji habari yako? Nawewe una kilo ngapi? unataka kupunguwa? Mh. Mzizimkavu, naweza kutumia nini kingine tofauti na asali ili nipungue? maana mimi na asali hatupatani kabisa.
  13. The Flower

    Engineers from dit,must are mostly professionally than udsm?

    udsm wanatoa Bachelor of Science in engineering, wakati DIT ni bachelor of engineering. udsm ni designers, dit ni watendaji technicians. huwezi kuwalinganisha maana kazi zao ni tofauti.
Back
Top Bottom