Unataka binti mkali awe anakudunda nakoz na kukumwagia uji wa moto?
Nenda Kenya!
atakuwa na dem huyu! au wamaanisha dem -dem tambala la kudekia labda.
Ligha za kitoto ni zipi mkuu,.
naona Jf imevamiwa sasa, mwenye ushauri wa tatizo langu tafadhali ani PM
Ohh Poorman Hujambo; Mke mwema na mzuri hapatikani kama bidhaa dukani !! Tafuta mwenye "Faith" atakutimizia Full-mahitaji yako.Jamani mimi mwenzenu ni mgeni katika ulingo wa malavidavi, naomba mnijuze ni mkoa gani wanatoka totoz wa ukweli ili nifanye maamuzi sahihi na Mungu akipenda tutengeneze familia naye,. Ukitoa na sababu ya chaguo lako nitashukuru zaidi,.
kwani yule demu wako uliomkuta na njemba wmingine halafu
akampiga busu zito mmeishia wapi!!!!!!!!
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/526749-msaada-jamaniii.html
Jamani mimi mwenzenu ni mgeni katika ulingo wa malavidavi, naomba mnijuze ni mkoa gani wanatoka totoz wa ukweli ili nifanye maamuzi sahihi na Mungu akipenda tutengeneze familia naye,. Ukitoa na sababu ya chaguo lako nitashukuru zaidi,.
kwani yule demu wako uliomkuta na njemba wmingine halafu
akampiga busu zito mmeishia wapi!!!!!!!!
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/526749-msaada-jamaniii.html
naona Jf imevamiwa sasa, mwenye ushauri wa tatizo langu tafadhali ani PM
naona Jf imevamiwa sasa, mwenye ushauri wa tatizo langu tafadhali ani PM
hujui kuwa we ndo mvamizi?
Ohh Poorman Hujambo; Mke mwema na mzuri hapatikani kama bidhaa dukani !! Tafuta mwenye "Faith" atakutimizia Full-mahitaji yako.
Stay blessed.
Kasome upya uzi wako then utajua. Namhurumia mzazi wako kwa kupoteza hela kukupeleka shule, bora angekununulia pikipiki ukafanya kazi za kusafirisha raia mitaani.