The Flower
Member
- Feb 28, 2013
- 48
- 34
mmh.. Mods nashauri kila thread mtu anayoweka awe analipia, itasaidia watu kuandika vitu vya maana.
mmh.. Mods nashauri kila thread mtu anayoweka awe analipia, itasaidia watu kuandika vitu vya maana.
ungelala tuHali ya hewa ikiwa tulivu ktk jiji la dar,kiubarid kwa mbaali.Mara hisia za kugegedana zinanijia,nikaona isiwe kesi acha nim call mamito mida ya jion aje anitulize kidogo.Nime mcall mtt karespond vizuri tu na tukapanga jion atunge kijisafari ili aje kunipa raha za dunia.Jion ndo hii ishafika nika mcall mtt akasema anajianda na baada kama ya nusu saa atatia maguu pande zetu za kujidai.Chaajabu mpaka sasa ni zaid ya masaa ma3 yameshapita na mtoto hajatokea na nikimcall anasema anakuja,Nime fanya udadis nikagundua kumbe kabanwa na dada yake waondoke wote ila anaogopa kuniambia kwakuhofia naweza kumgobeza kwakunipotezea muda.SWALI JE,HALI KAMA HII INGEMTOKEA WANACHAMA WA MATUMIZI YA MADAWA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME AMBAO NASIKIA HUWA WANATUMIA DAWA MUDA MFUP KABLA YA MECHI WANGETUMIA NJIA GANI KUJIRIDHISHA?HASWA UKIZINGATIA MAENEO KAMA HAYA YAKWETU NI VIGUMU KUMPATA WA FASTER FASTER?MAANA MIMI AMBAE CJATUMIA KITU CHOCHOTE ZAID YA CHAKULA NIPO VIBAYA KWAJINSI NILIVYOKUWA NIMEIPANIA PAPUCHI,JE MWANACHAMA ANGEKUAJE?