Recent content by The Fixer

  1. The Fixer

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni nani?

    Wakuu, Habari za mida hii ! Leo napenda kuuliza juu ya elimu ya ndugu yetu Humphrey Polepole anayehudumu kama Muenezi wa CCM mpya, ambaye awali kabla ya kuja kwenye chama chetu alijizolea sifa kadhaa katika mchakato ule wa Katiba kwa misimamo yake thabiti mpaka kupelekea kuthubutu kutamka...
  2. The Fixer

    JamiiForums Tanzania Mali za Kijerumani

    Hao Waisrael waliongia nchini wamekuja kuvuna hizi mali.
  3. The Fixer

    JamiiForums Tanzania RPC Olomi aliyesimamishwa kazi Kagera ni nani ?

    Yaah baada ya kusindikiza kahawa za magendo ali cross line.
  4. The Fixer

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure: Lipumba is Done! But Mtatiro hana Uwezo! Badala ya Kuinyanyua CUF, Ataizamisha!.

    Daaaaah ! Maisha hayaa bhanaaa
  5. The Fixer

    JamiiForums Tanzania Vyeti feki TPA: Wafanyakazi 600 kuachishwa kazi

    Khaaaaa ! How old are U ? Yaani ufoji cheti Alafu uchukuliwe Powaa ? Kwa kazi gani nyingi humo Bandarini mpaka ufanisi wa kazi uyumbe ati sababu wamepunguzwa watendaji ? Kwani walivyozaliwa tu wakasoma Bandari college ? Watafukuzwa na hao wapya nao watafundishwa na sababu wamelipa ada na kufaulu...
  6. The Fixer

    JamiiForums Tanzania Vyeti feki TPA: Wafanyakazi 600 kuachishwa kazi

    Hili zoezi halina haja ya kufika 2020. Hii ni issue ya mwaka mmoja tu. Shida nnayoipata ni kwamba mtu amefoji Cheti na amegundulika Kwanini anaishia kufukuzwa tu na sio kushtakiwa kabisa ?
  7. The Fixer

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Wakurugenzi wa NSSF wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi

    Namba 6 umedanganya. Search again within your sources.....
  8. The Fixer

    JamiiForums Tanzania Serikali tumieni mfano wa shule ya Kisimiri kuleta mabadiliko katika ufaulu

    Wamejitahidi Sana
  9. The Fixer

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa amesahaulika ama ni upepo?

    Yeye na prince walifanya kufuru kubwa ya kutaka kununua matokeo ya Ukonga. Baada ya matokeo ya awali kuonyesha kuwa anapigwa chini Prince alipigiwa simu akaja na akataka kuingia ndani wakamkatalia maana hata jimboni walimshangaa anataka kuingia kama nani ? Walimpomtafuta Mwita ili akubali...
  10. The Fixer

    JamiiForums Tanzania Mbowe ang'ang'ania kiti cha Uenyekiti, Lowassa kuwa na cheo kama cha Zitto wa ACT

    Habari zetu za "hear say"
  11. The Fixer

    JamiiForums Tanzania Viapo Vya Wakurugenzi: Rais Magufuli ameteua Wasomi, aagiza Serikali itumie EFD, Wagawa vyeo kukiona

    Eti naskia ameitaja Jamii Forum ni kweli ??
  12. The Fixer

    JamiiForums Tanzania Profesa Mbarawa amteua Mhandisi Kakoko kuwa Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)

    Kwani unadhani mpaka anapitishwa kuwa Mteuzi TISS hawajaenda mpaka kijijini kwao ? Unadhani Waziri akimteua ndio yeye kaja na jina lake kutoka nyumbani kwake ? Waziri amepewa tu amtangaze kama formality si ajabu hata Waziri hawajawahi kuonana na hawajuani. Vuta subira, kama atanyoosha kazi...
  13. The Fixer

    JamiiForums Tanzania January Makamba anaongoza mawaziri wa Magufuli kwa kufanya kazi kwa mazoea!

    Machungu yake makubwa alitarajia awe PM lakini akijikuta hata kwenye baraza tu hakuwepo ingelikuwa lile Baraza halina turufu ya Wazee wa CCM angekuwa Mbunge wa kawaida tu huko kwao ambako hawampendi na aliiba kura ili ashinde. Muulize ule mgogoro wa kiwanda cha chai ameumaliza ? Si ajabu...
  14. The Fixer

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Mpaka sasa Jimbo limepata Ambulance tatu

    Kumbe adha kubwa ya Wananchi wa Chalinze, Miono mpaka Bagamoyo ni ambulances ???
Back
Top Bottom