Recent content by The Ellipse

  1. The Ellipse

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Fahamu Ugonjwa wa Bipolar Disorder (Kanye West)

    Mwendelezo tafadhali.
  2. The Ellipse

    JamiiForums Tanzania Psychedelic Drugs & Consciousness

    Vyote.Ila hilo jani lina high concentration zaidi.
  3. The Ellipse

    JamiiForums Tanzania Psychedelic Drugs & Consciousness

    Kwa wenzetu wa jirani hapo(Kenya) hii kitu ni legal kabisa.Inauzwa tu kama bidhaa zngine. Kama ulivyosema hapo juu hii Khat inakufamya unakuwa very Talkative,na unakuwa na very imaginative,hupati njaa,na matumizi ya mda mrefu sana bila limit(concentration n frequncy of use) unaweza kupata...
  4. The Ellipse

    JamiiForums Tanzania Psychedelic Drugs & Consciousness

    My molecular Brain is Saluting[emoji119][emoji119][emoji119] you. Asante kwa knowledge mkuu[emoji110]
  5. The Ellipse

    JamiiForums Tanzania Psychedelic Drugs & Consciousness

    Naomba kujuzwa kuhusu mirungi/miraa/gomba.Maana nayenyewe arosto yake ikikukamata unakuwa unaoverthink kinoma,unajikuta unakuwa na mipango very sold ones/mipango makini[emoji3][emoji3][emoji3]
  6. The Ellipse

    JamiiForums Tanzania A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors | Africa Wake Up

    Budhism cyo dini,ni Falsafa!
  7. The Ellipse

    JamiiForums Tanzania Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

    Hao baba/mama zako waliwahi pitia vaccines zzte au namna kama hizo?
  8. The Ellipse

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo faida kuntu za kuwepo shetani na ibilisi duniani

    Bravo[emoji109],We jamaa una mentality-dimension kubwa sana na umeleta facts zenye reality.Wafia dini hapo watakuja na mavitisho yao.
  9. The Ellipse

    JamiiForums Tanzania Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

    Utopolo! Tuanze na #1 hapo:wewe bnafsi mpaka leo hii unatawala nini na nini ambavyo vipo chini ya utawala wako??
  10. The Ellipse

    JamiiForums Tanzania Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

    Unakufa bila hiari yako
  11. The Ellipse

    JamiiForums Tanzania Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

    Basi hata kifo pia wangetuwekea willing,ili ukichoka kuishi na kuvikinai vyote vya dunia ujiondoshe tu.
  12. The Ellipse

    JamiiForums Tanzania Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

    [emoji47]
  13. The Ellipse

    JamiiForums Tanzania Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

    Tatizo mnaojibu kwamba kuna maisha baada ya kifo, na baada ya kifo ndipo utajua kusudi la ww kuishi duniani ni lipi-nyote hamjawahi kufa.Mbaya zaidi kakuna aliewahi kufa baadae akafufuka na kutueleza alichokiona huko kifoni[emoji35],hata Yesu alikufa akafufuka ila hakueleza zle cku 3 alikuwa...
  14. The Ellipse

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kozi iitwayo Bachelor of Science in Municipal and Industrial Services Engineering

    Hiyo kozi ukifatilia module zake nyinqi znaingiliana na za Civil Eng... Sent from my CPH1717 using JamiiForums mobile app
  15. The Ellipse

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kozi iitwayo Bachelor of Science in Municipal and Industrial Services Engineering

    Kaomba kufahamu kuhusu kozi,so mm nmempa link afatilie details tu kozi inahucka na nn. Sent from my CPH1717 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom