You'll be fine. Grief iishe na utamove on. Man, hakuna jipya duniani. Amini wewe sio wa kwa za na wala sio wa mwisho kukupata haya.
Jinsi gani unakabiliana na hili suala ndio itaamua mustakabali wako baadae na familia yako, hasa watoto wako. Muhimu tumia busara wakati huu.
Mungu akupe hekima...
I agree. Tatizo sio nurse. Tatizo ni mwanamke aliyempata.
Mimi nadhani mwamba sio mnyonge. Anapitia phase ya grief tu. He'll come to terms na ata move on.
Namnukuu binti nimeongea nae hapa sasa hivi:
"Wengine ni lifetime dream zetu tu. Hivyo yani. Unaamka unashuka ngazi toka chumbani kuja down stairs. "
"Halafu pia the idea ya kuseparate downstairs where the place greets every Tom, Dick and Harry, na upstairs ambapo ni more personal and private"
Chairman Lee Brother, not your fault. You are IN Love. HEAD OVER HEELS.
Shida tu ni kuwa unayempenda hakupendi na hana chembe ya hisia juu yako.
Move on. It hurts, yes but only for now. You will be fine. I hate to tell you that it may be harder than it is now. And it may take even a a little...