Ana mtoto, amelelewa kwa deko SanaUliyeachana naye alipungukiwa vigezo gani?
No 2 imedhihirisha upumbavu wakenaona Noelia umevurugwa na vigezo. Sio mchezo
Kwa vigeza vyako tafta sex dols wamekidhi vifungu vya mashti yako!!!Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu,
Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi akileta mizengwe nakata tamaa,
Niliwai kuhapa kwamba sitakuja kutafta mwanamke mtandaoni, lakini kumbe wa mtaani ndo hawa hawa wa mtandaoni!
Nikiangalia walionizunguka mtaani au nao wajua hawana vigezo vinavyostahili kuwa mke, ndo maana nikahisi nikitumia platform hii naweza pia nufaika au Kipanua wigo wa suala hili,
Nataka na itapendeza sana nipate mwenza awe na sifa hizi
1.Awe Mkristo
2.Awe na Wazazi wote wawili
3.Awe Hajazaa sitaki single mother
4.Awe anatokea kanda ya ziwa itapendeza akiwa kagera, au mchanganyiko na Rwanda au Uganda,
5.Awe na 24-30 years
6.Awe na Pass ya Kusafiria au awe na vigezo vya kuipata
7.Elimu si Kigezo ila asiwe chini ya Form4
8.Awe Mrefu sitaki wafupi
9.Awe mnene wastan sitaki model, lakin angalizo asiwe na tumbo kubwa wala maziwa yaliyopitiliza, (Hips na nyuma pawe safi kidogo staki flat screen)
10.Rangi ningependelea Maji ya Kunde au mweusi
11.Sitak mtu alo cream au anayejiweka artificial sana, nataka natural
12.Usafi ni Muhim sana
Vigezo vingine vyaweza cheza kidogo au kutotimizwa ila kigezo namba 3,4,8,9,10 ni Muhimu na Mashart kuzingatiwa,
Niko serious kwa ajili ya Ndoa,
Karibu Inbox .
Asante
Kila mtu kuna kitu anakipenda uko sahihi kabisa kwenye vigezo vyako ila tu nikukimbushe.Ana mtoto, amelelewa kwa deko Sana
ThanksKila mtu kuna kitu anakipenda uko sahihi kabisa kwenye vigezo vyako ila tu nikukimbushe.
1: wanawake wenye hivyo vigezo ni wachache sana na akiwa navyo basi atakuwa na udhaifu mwingine
2.wanawake wenye uhitaji kama wako wameshapitia mengi wanatamani kutulia wako 30-35
3: no 8, 9 itakusumbua kidogo unatakiwa ulegeze kidogo maana hata wewe una mapungufu
4: ilibidi uweke sifa zako maana hata humu wapo sio wote wanaweza kuongea humu.
5: usichague sana maana huyo ni mkeo sio mke wa show off.la muhimu akuheshimu wewe na ndugu zako. Na akupende mengine yote ni bonus.
All the best.
Sex dolls wana baba na mama? Au hujaona hichi kigezo chake?Kwa vigeza vyako tafta sex dols wamekidhi vifungu vya mashti yako!!!
Ww una sifa gani? Isiwe wale watu wanataka kula bata kila siku, wakati ni mzee wa buku buku tuNishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu,
Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi akileta mizengwe nakata tamaa,
Niliwai kuhapa kwamba sitakuja kutafta mwanamke mtandaoni, lakini kumbe wa mtaani ndo hawa hawa wa mtandaoni!
Nikiangalia walionizunguka mtaani au nao wajua hawana vigezo vinavyostahili kuwa mke, ndo maana nikahisi nikitumia platform hii naweza pia nufaika au Kipanua wigo wa suala hili,
Nataka na itapendeza sana nipate mwenza awe na sifa hizi
1.Awe Mkristo
2.Awe na Wazazi wote wawili
3.Awe Hajazaa sitaki single mother
4.Awe anatokea kanda ya ziwa itapendeza akiwa kagera, au mchanganyiko na Rwanda au Uganda,
5.Awe na 24-30 years
6.Awe na Pass ya Kusafiria au awe na vigezo vya kuipata
7.Elimu si Kigezo ila asiwe chini ya Form4
8.Awe Mrefu sitaki wafupi
9.Awe mnene wastan sitaki model, lakin angalizo asiwe na tumbo kubwa wala maziwa yaliyopitiliza, (Hips na nyuma pawe safi kidogo staki flat screen)
10.Rangi ningependelea Maji ya Kunde au mweusi
11.Sitak mtu alo cream au anayejiweka artificial sana, nataka natural
12.Usafi ni Muhim sana
Vigezo vingine vyaweza cheza kidogo au kutotimizwa ila kigezo namba 3,4,8,9,10 ni Muhimu na Mashart kuzingatiwa,
Niko serious kwa ajili ya Ndoa,
Karibu Inbox .
Asante
Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu,
Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi akileta mizengwe nakata tamaa,
Niliwai kuhapa kwamba sitakuja kutafta mwanamke mtandaoni, lakini kumbe wa mtaani ndo hawa hawa wa mtandaoni!
Nikiangalia walionizunguka mtaani au nao wajua hawana vigezo vinavyostahili kuwa mke, ndo maana nikahisi nikitumia platform hii naweza pia nufaika au Kipanua wigo wa suala hili,
Nataka na itapendeza sana nipate mwenza awe na sifa hizi
1.Awe Mkristo
2.Awe na Wazazi wote wawili
3.Awe Hajazaa sitaki single mother
4.Awe anatokea kanda ya ziwa itapendeza akiwa kagera, au mchanganyiko na Rwanda au Uganda,
5.Awe na 24-30 years
6.Awe na Pass ya Kusafiria au awe na vigezo vya kuipata
7.Elimu si Kigezo ila asiwe chini ya Form4
8.Awe Mrefu sitaki wafupi
9.Awe mnene wastan sitaki model, lakin angalizo asiwe na tumbo kubwa wala maziwa yaliyopitiliza, (Hips na nyuma pawe safi kidogo staki flat screen)
10.Rangi ningependelea Maji ya Kunde au mweusi
11.Sitak mtu alo cream au anayejiweka artificial sana, nataka natural
12.Usafi ni Muhim sana
Vigezo vingine vyaweza cheza kidogo au kutotimizwa ila kigezo namba 3,4,8,9,10 ni Muhimu na Mashart kuzingatiwa,
Niko serious kwa ajili ya Ndoa,
Karibu Inbox .
Asante
Anahisi kuna mtu anapenda kuwa na mzazi mmojaUnaonekana una shida sana Mwanaume mwenzangu! Eti Awe na wazazi wote wawili! Unataka Kuoa UKOO MZIMA na wazazi wake?
Unaonekana HUJIELEWI! JARIBU KUJIPANGA UTAPATA !
nadhani hajaona masharti ya mwambaSex dolls wana baba na mama? Au hujaona hichi kigezo chake?